Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Kakamega:
Ruto 3422
Raila 16

Kericho:
Ruto 1255
Raila 143

Kiambu nyeri:
Ruto 1028
Raila 344

Kisii:
Ruto 870
Raila 85

Kirinyaga
Ruto 4352
Raila 1232
 
Ungekua uchaguzi wa tanzania ungesikia sahivi mawakala wamepigwa stop kuingia ndani. Mara kuna mtu kaingia na ndoo iliyopigwa kura.

Polisi wavamia na kubeba sanduku la kura
Tanzania tunafanyaga uchafuzi tu...Kama 2020 ndio kabisa tulipoteza muda tu, Bora hata tungejikalia nyumbani tu
 
Ajaribu awamu nyingine sasa
Screenshot_20220809-222542.jpg
 
Back
Top Bottom