MONTESQUIEU
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 847
- 80
lazima aporomoshe mitusi na kawe mkali maana ukawa wakichukua nchi patachimbika na hizo mali walizojimilikisha kama nyumba za serikali wanajua zitadaiwa hivyo inabidi wawe mbogo kulinda chama kinacholinda maslahi yao. Lol!kilichonishangaza mimi ni kuona mkapa akiporomosha matusi.why aporomoshe matusi while ukawa ni ccm b?mwinyi alifuata nini jangwani?kama ukawa ni ccm b hawatakiwi kupiga campaign maana ikishinda ccm a au ccm b bado ni wao wameshinda why kelele na matusi