YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

kilichonishangaza mimi ni kuona mkapa akiporomosha matusi.why aporomoshe matusi while ukawa ni ccm b?mwinyi alifuata nini jangwani?kama ukawa ni ccm b hawatakiwi kupiga campaign maana ikishinda ccm a au ccm b bado ni wao wameshinda why kelele na matusi
lazima aporomoshe mitusi na kawe mkali maana ukawa wakichukua nchi patachimbika na hizo mali walizojimilikisha kama nyumba za serikali wanajua zitadaiwa hivyo inabidi wawe mbogo kulinda chama kinacholinda maslahi yao. Lol!
 
Sisi UKAWA kama wale nyumbu wa Serengeti, tumeumia sana na campaign ya jana ya CCM. Hatukudhani kama CCM bado inamashabiki wengi kiasi hicho. Tulikuwa tunawatisha watu na mafuriko yetu na kuwaaminisha WATANZANIA sasa wameichoka CCM. Sasa yaliyotokea jana yanadhidi kutupa kazi kubwa ya kufanya. Kwa yaliyotokea jana, tunawadanganya vipi tena hawa WATANZANIA. Je tuitupe karata yetu ya mwisho ya KINGUNGE? Kwani tulipanga KINGUNGE ahame CCM mwishoni ilikuchangamsha mambo? Vipi sasa tuitupe hiii karata mapema?

Pamoja na hayo mgombea wa CCM ana nguvu na ari ya kuibadilisha nchi. Anaongea sera tu. Maneno yake yanaingia mpaka kwenye cell za damu. Sasa nikianglia mgombea wetu hata kutaja jina la mke wake ni kazi kubwa. Anaishia kusema tu 'narudia' maneno yale yale. Sasa najiuliza huyu mgombea wetu wa UKAWA ataweza kweli kuhutubia na kujenga hoja kwa angalau dakika 15? Sijui... lakini nimehakikishiwa kuwa yule dakatari wake wa Ujerumani amekuja na sindano nyingi tu za kumchoma ili awe fit. Kwa hiyo ni matumaini yangu atahutubia kwa mda kidogo.

Sisi UKAWA bado tunakajiimani hii miezi miwili tutaandikwa sana kwenye magazeti. Iliyobaki heri tuoshe nyota kwa kuuza sura. Ila uhakika wa kushinda Oktoba umeyeyuka kama icecream Za AZAM.

Kabla ya mkutano diclofenac injection muhimu maana kusimama kwa muda mrefu kama Tingatinga sijui kama ataweza labda awekewe kiti,
huku ku force kwingine naona ni pressure ya umri maana mtu anajua tu akiukosa msimu huu haitowezekana tena maana jua ndio lile saa 12 jioni
 
maneno waliyoongea jana wote waliopanda jukwaani yanadhihirisha vile chama kilivyo kwenye hali mbaya ata wakijaribu kuficha ila maneno yao yanawaumbua R.I.P CCM
 
Magufuli jana alikuwa ana bwabwaja utafikiri hakuwa sehemu ya serekali ya Kikwete inayokopa wakulima,iliyoshindwa kutatua tatizo la ajira,iliyoshindwa kutatua kero ya foleni Dar na majiji yote makubwa,iliyoshindwa kutatua kero za waalimu na wafanyakazi.Iliyoshindwa kujenga reli kwaajili ya kubeba mizigo mikubwa.

Nilivyokuwa nasikiliza zile kampeni za magufuli nikaona ni copyright ya kampeni za Mkapa na Kikwete.
Wanarudia ahadi zilezile miaka nenda rudi.
 
aliyoyasema magufuli jana hayajafikia hata robo ya aliyoyasema kikwete 2005 lakini wanafikiri wananchi ni wajinga kiasi hicho wataisoma number october.
 
Mimi VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa,kada nguli wa CCM na mshiriki wa shughuli za kila siku za kampeni,najitoa rasmi kwenye timu ndogo za kampeni zilizoundwa na chama. Mimi, bila ya kushurutishwa na nikiongozwa na dhamira yangu safi ya demokrasia safi, sitashiriki kwenye kampeni za jukwaani,mitandaoni na mitaani kumnadi mgombea wetu Dr.John Pombe Magufuli.

Ufunguzi wa kampeni za chama changu umetoa taswira ya kuogofya kwa wananchi kutuonesha kuwa tumeishiwa sera na hatuzitaki kura. Mikoa niliyopangiwa kwenda ya Iringa, Mbeya,Rukwa na Katavi nitawajibu nini wakiniuliza kama kweli wao ni malofa na wapumbavu? Jana, CCM yetu imeonesha ilivyo mahiri wa kusema chochote bila malengo ya kuomba kura. Dr. Magufuli amehutubu kwa dakika 53 bila ya kuomba kura.

Siwezi kushiriki kampeni ambazo hazijikiti kwenye Ilani yetu. Waratibu 32 wa kampeni ya Magufuli wamepania kushambulia watu badala ya kusema kilichofanyika na kitakachofanyika kwa miaka ijayo. Wameapa kushambulia personalities badala ya kuzungumzia realities. Siwezi na hata sitamani kushiriki kampeni za aina hiyo kwakuwa mimi ni mfuasi wa siasa safi chamani na nchini.

Lakini,sihami chama. Kura yangu bado iko pending. Kila la heri makada!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Kaaaahhh...!!!

I didn't know, UR SUCH A BRILLIANT man...

Mzee TupaTupa...!!! I can see how BIG you are in terms of IQ....!!!

Kweli ww una AKILI...!!!

Nakuomba, TUUNGE MKONO wananchi..

Njoo UKAWA RASMI... akina #OCAMPO FOUR, #Mr. President, #MUSSA ALLAN
etc wako UKAWA rasmi na wanakadi na wana vichinjio vyao rasmi...!!

Na wametoka CCM, na wako VERY brilliant, njoo tuwe pamoja....!!!

Safiiiiiiiii.... Mungu awe nawe...!!! Ubarikiweeeee...!!!!

Na kwaheriiiiiiiiiiiiii.......!!!!!!!!
 
Mimi VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa,kada nguli wa CCM na mshiriki wa shughuli za kila siku za kampeni,najitoa rasmi kwenye timu ndogo za kampeni zilizoundwa na chama. Mimi, bila ya kushurutishwa na nikiongozwa na dhamira yangu safi ya demokrasia safi, sitashiriki kwenye kampeni za jukwaani,mitandaoni na mitaani kumnadi mgombea wetu Dr.John Pombe Magufuli.

Ufunguzi wa kampeni za chama changu umetoa taswira ya kuogofya kwa wananchi kutuonesha kuwa tumeishiwa sera na hatuzitaki kura. Mikoa niliyopangiwa kwenda ya Iringa, Mbeya,Rukwa na Katavi nitawajibu nini wakiniuliza kama kweli wao ni malofa na wapumbavu? Jana, CCM yetu imeonesha ilivyo mahiri wa kusema chochote bila malengo ya kuomba kura. Dr. Magufuli amehutubu kwa dakika 53 bila ya kuomba kura.

Siwezi kushiriki kampeni ambazo hazijikiti kwenye Ilani yetu. Waratibu 32 wa kampeni ya Magufuli wamepania kushambulia watu badala ya kusema kilichofanyika na kitakachofanyika kwa miaka ijayo. Wameapa kushambulia personalities badala ya kuzungumzia realities. Siwezi na hata sitamani kushiriki kampeni za aina hiyo kwakuwa mimi ni mfuasi wa siasa safi chamani na nchini.

Lakini,sihami chama. Kura yangu bado iko pending. Kila la heri makada!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Kwanini hukujitoa wakati Lusinde alipowekwa kwenye kamati ya watu 32 wa kuwatukana watanzania?
 
fisiem mnajitekenya,ukawa hawawez kushtuka na kampani za kila miaka mnafanya hayo hayo ndo maana mnaitwa zilipendwa kwann hamna ubunifu?[kwani TZ hakuna madaktari duh hii kufuru anapata wap mijihela yote ya kumlipa dkt MDHUNGU kweli sheeeeeeeeeeeeeeeeeeedahhhhhhhhhhhh kutoka germany to tz kutibu mafua kwiwkwikwiiiiiii huyo ndio mgombea wao
 
tokea nizaliwe sijawahi kuona mkutano wa ccm wakiboya kama ule wajana..... upande wapili huku mitaani hamasi ilikuwa hakuna bar zote ziliwapotezea
Ni ujinga kutegemea ushabiki ....narudia rais bora sio maguful
 
jana wakati pombe akiwa kilingeni alisikika akisema atahakikisha anawalinda wale aliowaita wafanya biashara wakubwa na wafanya biashara wadogo. lakini sikumsikia akisema atawalinda wakulima na wafanyakazi hasa walimu, manesi na madaktari.

je kauli ya wenye maono kuwa ccm ni chama cha wafanya biashara imetimia? anawaandaa wafanyabiashara kisaikolojia kwa ajili ya kukwepa kodi?
 
Sisi huku tulishangaa mgao wa buku tano, kuwekewa viti uwanjan ili vijazie nafasi,na kupandishwa roli hadi uwanjani bado kidogo roli lipinduke.
 
Back
Top Bottom