YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

Ukawa au CCM?

Habari wakuu! jana nmemsikiliza magufuli alichokua anakiongea pale ilikua ni kuivua nguo serikali ya CCM na yeye akiwemo ndani!
Haitosh sehem kubwa kaongelea mapungufu ya serikali ya kikwete!

Inamana kakiri kikwete nchi ilimshinda au...? kwakweli ile ilikua ni aibu kwa CCM na inaonyesha hakuna hoja mpya ya kuwapa watanzania

Mwisho nihitimishe kwa kusema hivi;-

HUWEZ KULISUKUMA GARI KWA KUKAA NDANI YAKE!
 
tena wewe ndo TAHIRA KABISA ZAIDI YA ALIYETUKANA WENGINE WAPUMBAVU.UKOMBOZI GANI WENYE UMASIKINI MPAKA MATAKO.NI.

uvivu na ujinga na upumbavu wako ndio umekufanya uwe maskini. Na ukiendelea kulialia utakuwa maskkin milele huku wenzako wakimiliki biashara, na majumba ya kifahar. Pumbaaav
 
Mkapa ndie aliewapa Afrika kusini madini bure na benki wao wanaendelea sisi tumebaki masikini.harafu anataka kutoa hoja aendelee kusikilizwa hapana ni kiongozi aliefeli Tanzania..
 
Itakost amani ya nchi kwa vile, Ukawa nasi tutalipa kisasi, then, tuone, patachimbika mwaka huu.

We CASTRO acha vitisho vya kipuuzi.Yeyote anayetishia amani ya nchi ashughulikiwe mara moja.

Huwezi kuilazimisha nchi mzima ifanye unayotaka.Huwezi kuchochea fujo na vurugu huo upuuzi wa hali ya juu.

Mie nakwambia wazi haya yote tumeyataka wenyewe. Kwenye kampenzi siku zote CCM wametukanwa sana. Na hapa jukwaani nilionya kuhusu zomea zomea unayofanywa na UKAWA dhidi ya wana CCM. Nikasema ina madhara nikazomewa pia.Sasa na wao wamefanya wanachofanyiwa unalialia nyanyanyanya (in Gwajimaz voice)..

Ninaamini wakati wa kampeni hizi CCM wakizomewa watawazomea UKAWA pia.

Jipange, hatuwezi kubali uchochezi wa uvunjifu wa Amani kwa sababu za kipuuzi kama unazozitaja.
Watu wa aina yako ni wa kushughulikia vikali bila kujali itikadi sawa za kisisasa.
 
Hii inamaanisha umekubali kuwa JP ni muarobaini wa matatizo ya watanzania...jamaa huwa anagawa za uso live...

Ule ni uongo wa ccm ambao umeshaxoeleka. JK aliahidi kuifanya Tanga kuwa jiji la viwanda mpaka leo hii ahafi imebuma. Leo Magufuli anasema Tanzania yake itakuwa ya viwanda, mtangulizi wake kashindwa mkoa tu sasa yeye Tanzania nia nzima?
 
Angetukana mh. Lusinde Kibajaji isingeleta picha mbaya sana namna hii kama alivyotukana muheshimiwa Rais mstaafu Benjamin Mkapa.

Hiyo ni ishu nyingine lakini si kututishia eti amani itatoweka! Matusi na vijembe ni sehemu ya kampeni zote. Hapendi ashtaki mahakamani lakini asilete vitisho humu!
 
Ule ni uongo wa ccm ambao umeshaxoeleka. JK aliahidi kuifanya Tanga kuwa jiji la viwanda mpaka leo hii ahafi imebuma. Leo Magufuli anasema Tanzania yake itakuwa ya viwanda, mtangulizi wake kashindwa mkoa tu sasa yeye Tanzania nia nzima?

Sasa wewe Kidudule hapa tunaongelea Magufuli...si unamjua lakini?? Ngoja mahakama ya majizi na mafisadi ianzishwe..wewe na huyo mgombeawenu mtakuwa wakwanza kuhamia Congo
 
Hii inamaanisha umekubali kuwa JP ni muarobaini wa matatizo ya watanzania...jamaa huwa anagawa za uso live...

Jana kasema mengi sana anayajua! sa kwann asingemsaidia baba riz kwenye ile miaka10 yake? mana CCM na yeye ni yake pia! kwann aliyafumbia macho? najua utajib hakua na mamlaka ya juu!

Teh teh teh..sasa mamlaka kapewa na wenye mamlaka' u think akiwa prez kuna kitakachobadilika?

#HUWEZI KULISUKUMA GARI KWA KUKAA NDANI YAKE!
 
Jana kasema mengi sana anayajua! sa kwann asingemsaidia baba riz kwenye ile miaka10 yake? mana CCM na yeye ni yake pia! kwann aliyafumbia macho? najua utajib hakua na mamlaka ya juu!

Teh teh teh..sasa mamlaka kapewa na wenye mamlaka' u think akiwa prez kuna kitakachobadilika?

#HUWEZI KULISUKUMA GARI KWA KUKAA NDANI YAKE!

Kwanini usukume gari wakati unaweza kuendesha?? Acha ulofa wewe.
Najua utakuwa umeogopa ulivyosikia mahakama ya mafisadi inakuja..kaa chonjo tanzania mpya inakujaw
 
watanzania wameonywa kufanya kampeni za kistarabu

leo uzinduzi wa kampeni za chama tawala tumesikia maneno

ya kutisha ya kiongewa na rais mstaafu benjamin mkapa akiwatukana ukawa

na wanaowaunga mkono wapumbuvu je hii ni kampeni ya kistarabu? Tume

ya uchaguzi inatuambia nini? Polisi watakuwa tayari kusikia wapinzani wakijibu

kwa mashambulizi kwa kutumia maneno kama hayo?

Tbc watakuwa tayari kuacha kuzima tv?

Ebu toa wzo lako

hebu toa uozo huu! Mambo ya kutisha yapi?
Watu mnapenda sana kujiendekeza hivi alipotukana mkapa ni wapi?

Hivi umesahau kuwa kauli ya neno mpumbavu aliwahi kuitumia mbunge wenu sugu bungen na alikataa kufuta kauli baada ya kuamliwa na spika?
Sikuwaona kukomalia lakn leo kaongea mkapa mnajifanya wachambuzi wa mambo wapumbavu.
 
Huo ndio mwisho wa kufikiri kwake bwana castro, anafikiri amani ni kama sukari, unaenda kuipata tu dukani, ngoja tuone namna atakavyojaribu kuivunja kama hakujikuta moi ward muhimbili na aone kama hao waliomtuma watakwenda hata kumtaka hali.
 
Back
Top Bottom