YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

Hivi kwa ukata tulionao Watanzania ni muda wa kuletewa zile porojo kweli?
Yaani hadi sasa hakuna cha maana kilichoongelewa! Eti huyo mlevi makongoro anatuonesha kifimbo...what a f***k is kifimbo?
Wapuuzi tu subiri waone wanaume UKAWA watakachofanya.
Yani wananchi wametaabika na uelewa mkubwa wao wanakuja na porojo. Jamani huyu domo anajifanya kumpiga dongo lowasa
 
nimeshangazwa sana baada ya ccm baada ya kujadili hoja zao wanakuja kuwajadili akina lowasa na sumaye hawa jamaa ni kweli wamevurugwa sana kuanzia leo sina imani na ccm hawana akili ni kweli chama kimechoka sana kinahitaji kupumzika viva ukawa
chama changu ccm nakihurumia sana,mwenyekiti kauwa chama
 
Hahahahaa bado wasaniii kama 40 hahahahaaha CcM hadi raha. Haya sera zao watatupatia muda gani? Mtaani naona watu wako busy na mpira kwenye TV
 
Popoma aliyetukuta chadomo huyo, huyu mjinga asubiri mwanaume Lowassa aingie madarakani ataisoma.
Mpuuzi wa tandale habadiliki hata aende mbinguni na kurudi.
 
Duh haka kajamaa kanaitwa sijui Diamond huwa hata sikasikilizi kumbe kana nyimbo nzuri kiasi hiki.
 
Mama weeeeeee! Kikwete how you do Ngololo....
Kinana ngololo!
Uwiiiiiii! Huu ni zaidi ya uchizi haki ya mama!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom