YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

Makongoro ni hopeless kabisa naona nape hapa anamwambia muda umeisha kiuoga
 
Ila ukawa wamelamba garasha,
Nasikia wameahirisha uzinduzi wa kampeni mpaka tarehe 29/08/2015 ii afya ya mgombea itengamae.
Ukwel sisiem wamecheza mchezo mbaya kwa ukawa.
Lowasa na ccm ni damu damu na muda c mrefu atajitoa kwa sbb ya maradhi yake yanayosumbua.
Ukawa poleni sana
 
ccm wanatia aibu kama huo ndo uzinduzi wanaongelea tuu Lowasa na Sumaye aliyeingia jana kawaongezea cha kuongea. Hawana sera
 
Back
Top Bottom