YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

Si tuliambiwa kuwa maandamano kwenye mikutano ya SIASA nchi nzima ni marufuku,sasa hicho hapo juu hao vijana wa bodaboda ni nini..? Ishakuwa nchi ya KUSADIKIKA hii..
 
Kuna dada mwanamuziki kapanda jukwani anajifunuafunua tu.

Kweli safari hii sijui Makomeo ataonga barabara maana nyumba kazimaliza.
Hahahaaa wako kwenye marketing hao haahaaa wanatumia fursa vizuri ila Kura UKAWA
 
Kuna binti alikuwa anasasambua hapo jukwaani. Style ya uchi tuuu labda itamsaidia kwenda mjengoni! Acheni kujidhalilisha
 
Unapewa buku tano unapanda kwenye lori au fuso vijana wengi sana wamechukuwa buku tano na bendera ila wanasema kula ccm kulala ukawa kura ukawa


Kumbe mpango wenyewe uko hivyo!
Hiyo poa kabisa-ukifika uwanjani unasepa mdogomdogo siyo?
 
Hivi hawa wasanii wanaotumika kuponda chama kingine kwa jina kesho wakilipwa na ukawa wataiponda ccm au ndio wako kazini?
 
Tbc hawako fear hata kidogo...mkutano wa ccm wameonyesha mwanzo mwisho ...swal je? ukawa nao wataonyeshwa hiv hiv kwel???
 
Msanii Dokii leo wakati anamalizia show yake ya kufana uwanjani jangwani wakati ccm inafungua kampeni zake alimalizia kwa kusema
WAKAWA WA KAWAIDA SANA.
 
Naona ccm wameumia sana kutafuta watu kuja kujaza eneo ili tu wasionekane kuwa hoi ukute hawa wametolewa mkoani nina wasiwasi huu
 
Tutakua Pamoja Mkuu Ndani Uzi Wa Njano Na Kijani Chini Nyeusi...Hatuvaag Magwanda Sisi Sio Mgambo....Japo #hapa_ni_kazi_tu #hatutawaangusha #umoja_ni_ushindi Tupa Kule Safar Yao Ya Matumaini Kama Wagongwa Wa Ukimwi Na Mtazungushwa Sana #zungushazungusha Na Bado Mtakimbizwa Sana Japo Chama Chenu Full Mchakamchaka,na Ameanza Kwa Kuwaweka Wabunge Wake aliokatwa nao Ccm!!!

Aisee, tukana wote, ila wenzetu wa ukimwi usiwaguse kabisa. Hujui lini hiyo roho yako itachukuliwa. Muombe Mungu akukarimie maneno ya busara.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom