Yaliyojiri Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar) Juni 9,2012

Staili ya urudishaji kadi, ilivyoanza ni ghafla bila maelezo

harafu magufuli anasema wanaotaka kurudisha kadi za ccm, cdm, nccr walete hapa. Hii kazi kwelikweli

Halafu wote walikuwa wamekaa mahali pamoja. How come?
 
Kuna mijitu ni Vitumbua kweli ingekuwa tunapeana test huku ingekuwa kila siku inaongoza kwa zero
 
CCM wanatakiwa kujua kuwa watanzania wanataka issue za 'pocket'. Yeye kama mtu binafsi hawezi kula madaraja, au ahadi. CCM ilitakiwa kuja na mkakati wa kuondoa ugumu wa maisha na kuongeza ajira, hayo mengi ni secondary issues.

CCM walitakiwa kujibu hoja kwa Miswada na programme za kuipeleka Tanzania mbele ili 2015 watu waweze kuwapima. Haya si mapinduzi ya nani kapata watu wengi, haya ni mapinduzi ya kifikra. Kama mimi ningekuwa ni CCM strategy ningepata shida sana kuona mikutano yangu ikihudhuriwa na kina mama na wazee, wakati vijana ambao ndiyo wanabeba mustakabali wa chama na Taifa in the future hawapo.
 
ukiangalia mkutano wa leo utaona ni njano tupu kama watoto wa shule. sijui hawa ndugu zetu wametumai shilingi ngapi.
 
Pamoja na kuzungusha magari kila kona ya jiji na kugawa t shirts khanga na ruzuku kwa wananchi lakini bado mahudhurio ya jangwani hayakuweza kufikia japo theluthi mbili ya mahudhurio siku ya Chadema.
 
Zomba,

..Conclusion yako ina mushkeli kidogo.

..Wassira hakumaanisha "kufuru" ktk masuala ya dini/imani alikuwa akizungumzia masuala ya siasa.

Anaekufuru ni kwa nani zaidi ya Mungu? unaweza kumkufuru binaadam mwenzio?
 
Unajua hivyo viti wamekodisha kwa sh ngapi? Ni milioni 15, na hayo mafuso ya kubeba watu kuleta jangwani na kuwarudisha ni mil 21, posho za watu waliokodishwa kuhudhuria ni watu 2000*15000=30,000,000. Hapo sijapata bei za posho kwa wadau wa CCM waliohamasisha watu kuja na za viongozi wengine. Ufujaji wa pesa tu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Hapa Nape umekosea na kumbe na kumbe CCM kweli imechoka maana hadi teknic zake zinakuwa za wazi mno! Jamani hamuoni kuwa hizo Bendera zote za CDM mumerudisha mpya zote? alafu iweje kadi zote ziwe za CDM tu alafu zote mpya? do hili pia hamkulishitukia? Hii techniki haikuandaliwa vizuri.
 
Wameigiza wameenda kulala sasa,kadi hazijaandikwa hata sehemu moja..........nape nimemwona mpuuzii leo
 
CCM ni wafa maji wameshikwa na kiwewe kuona wananyanganywa tonge mdomoni,wameendelea kuahidi licha ya kushindwa kutekeleza ahadi walizokuwa wameahidi.Nimewasikiliza sikuona jipya na sana wameendelea kuonyesha woga kwa CDM.CDM ni kaza uzi adui ccm yuko taabani hawakuwezi.
 
Nimefuatilia mkutano Wa ccm Jangwani leo kwanza watu waliokuwepo ni wachache kuliko M4C walioufanya hapo pili nimeona watu waliorudisha card za chadema hizo card ni feki pili ccm ndiyo wanatukana sana matusi hasa kwa chadema na bado wamesema eti waliorudisha card ni 4600 kweli ccm bye bye.
 
Hii ni hatari kweli kwa taifa kama watu wanafanya ujinga halafu inafikia wanajisifu eti wamekomesha Watanzania. Hii ni hatari kubwa. We need to be fair. Yaani kwa leo ambaye ame eleweka ni Dr. Mwakyembe. Ameongea point ambazo ni za msingi hadi nimekubali. Ila kwa nchi yetu watu wa hovyo ndio tunawapa sifa na vichwa tunataka kuviua kabisa. Godbless Mwakyembe.
 
Back
Top Bottom