Yaliyojiri Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar) Juni 9,2012

Nimejitahidi kujizuia nisichange lakini nimeshindwa.

Sasa nimekubali CCM kwisha kazi,hapa ni mwendo mdundo swaga kwa kwenda mbele.

Sikuwahi kuhisi kama hawa jama watakuja kuchuja kwa style hii,nimeumia sana na kuwaonea huruma.
Riziwani a.k.a ako poleni sana.
 
wenyewe mmeona ....hamaa wamerudisha kadi bila kuonyeshwa wakipewa kadi za ccm!!!!..
 
Wamesombwa na wamelipwa pia, we vipi?

.
Nipo jangwani kwenye mkutano sasa hivi na pia ule wa Chadema nilihudhuria. Kwa kweli bila hata chembe ya ushabiki umati uliopo haoa uwanjani leo ni theluth moja ya ule umati uliohuzuria mkutano wa Chadema.
.
 
hii ni namba ya simu ya mkononi ya waziri mwakyembe.ukiona tatizo la barabarani hasa kupandishwa nauli kiholela wewe mpigie tu.
Mwakyembe namkubali sana, ila anakoenda ataharibu! Mbaya zaidi CCM wanataka kumtumia kwakuwa wanajua anakubalika.
 
Kwa kauli kuwa CCM wanaukimbia uwanja wa Jangwani kwa kuwa hawajazi watu na wanawanachama wachache ambao hawawezi kuja kujaza jangwani.,mbowe hukuwa sahihi.,sitakulazimisha kukubali kwa maneno yangu, bali angalia kwa macho yako na kisha kubali kwa nafsi yako kuwa CHADEMA kuwa level ya CCM ni baadae saaaaaana.View attachment 55896

mtu akikaa anachukua nafasi ya watu watatu. Kwenye mkutano wa CDM watu walisimama na uwanja ulifurika. Hao ni chini ya nusu ya CDM
 
Angalieni quality ya hizo card tulitumia manila za kawaida kuzitengeneza lakini tuliwaambia kama wanataka kadi zenye quality kama ya Chadema gharama yake kwa zote ingekuwa milioni kumi kwahiyo wakatuambia tutengeneze kadi za quality ya chini za shs milioni 4 lakini tuwape risiti ya milioni 10

Haya ungeyasema kabla ya mkutano huu.
 
watu ni wengi wengi mno
karibu jangwa litafunikwa kwa wingi watu nikifanya tathmini ni mara 3 ya
mkutano waliofanya chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kweli CCM
bado inapendwa na inawanachama na wapenzi lukuki, na kama ni hivi safari
ya kuitoa CCM madarakani bado ni ndefu mno, labda kwa sababu chama hiki
hakina udini wala ukabila tofauti na vyama vingine ndio maana watu bado
wana imani na CCM?

Sasa zile cadi feki za cdm ndio nini kile? Acheni sanaa..! Chama kisanii mwenyekiti msanii!
 
naona watu wanaondoka kwa speed ya ajabu, wameshapata kofia, t-shirt, kanga , pilau na pesa zao!
 
nadhani umemiz vitu viwili, na hii inatokana na ile chuki ya udini uliyonayo... hakuna kashfa kushiriana na nyerere, kwani waislamu walishirikiana nae pia, na mbowe can never be held responsible kwa mambo waliyofanya wazee wake

unanikumbusha story ya mtu mmoja anayeitwa dibibi, siku zote alidhani yuko daraja fulani, sasa tukiweka historia ya mababu zake, nanweza akaanza kujiuliza kumbe u-puppet uko kwenye asili na babu alifanywa nini na wenzake kwa hilo??

napita tu

Sio yangu hayo, hayo ya Wasira yeye ndie mwenye kujuwa kuwa Nyerere alishirikiana na baba'ke Mbowe na kasema hadharani si pembeni na mimi nimeyasikia live kupitia ITV. Asiwakufuru wazee wake aendelee na biashara yake ya kuuza "pombe", hayo pia ni maneno ya Wasira.

Leo nimejuwa kwanini magwanda hawampendi Tyson, kumbe anajuwa mengi sana.

From J to J (Johannesburg to Jangwani).
 
Back
Top Bottom