Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,871
- 155,840
Mtapigwa tano bila kama ilivyo pigwa yanga
Leo Dar imependeza imepambwa kwa kijani na njano.
Leo Dar imependeza imepambwa kwa kijani na njano.
sa kama huwezi kutuma picha umeanzisha thredi ya nini?
Mi mwenyewe sitakua na nafasi japo nipo mitaa ya jangwani, nikaona sina sababu ya kuanzisha thredi, au unataka thredi yako ndo iwe ya kwanza kuchangiwa?
Picha za malori ni muhimu mkuu kama kuna waziri anakuja muangalie anatumia usafiri wa Chama au Serikali picha ni muhimu hata kwa magari wanayotumia viongozi
Usijekuwa uko Songea na hapa unatu.....?Wanabodi,
Kwa sasa nimeshawasili hapa jangwani kuangalia kinachojiri,pilikapilika za upangaji wa viti vya plastic vyeupe unaendelea na uandaaji wa jukwaa umepamba moto huku mabango nayo yakiandikwa...
Nimepita hapa jangwani muda si mrefu, watu wameanza kumiminika uwanjani kama mvua. Dalili ya mvua ni mawingu , yaonyesha wazi leo uwanja huu hautatosha, wenye Dar es salaam yao leo ndio wanafanya mkutano wao kwa ustaarabu, utulivu na amani. Mie muda si mrefu nami ntajongea viwanja vya jangwani, mwenye macho haambiwi tazama leo ni funika bovu jangwani. Na kila televisheni itaonyesha mkutano wa jangwani tofauti na wale walio pita ambapo kitelevisheni kimoja tu ndio kilionyesha, na kukawa na kelele humu JF kibao.
' VUA GAMBA, VUA GWANDA , VAA UZALENDO'
Nimeagiza kifaa fulani kwa ajili ya picha nitatupia pindi kikifika
Usijekuwa uko Songea na hapa unatu.....?
kifaa gani mkuu?
Mafuso yanakimbia utafikiri yanaendeshwa na Michael Schumacher ili yaende trip nyingi mengi yanatokea bagamoyo, mkuranga kibiti chalinze na kibaha
Mkuu usidhani kila mtu ni ccm lakini sioni kosa kuhudhuria huu mkutano na kufanya live coverage kwa wadau.