Yaliyojiri Mkutano wa CCM na waandishi wa habari Peacock Hotel

Duh! Waandishi wa habari poleni! Press conference ya CCM imeisha baada ya dakika tatu! Jamaa sijui anaitwa nani kawaita waandishi wa habari kuelezea watu wajitokeze kujiandikisha!! Duh huku ni kuchezea muda wa watu!!!
 
Nilichogundua kwenye maongezi haya ya katibu wa CCM ni either hawakujiandaa au wameamua kuacha kuzungumzia kile kilichokusudiwa. Pole yao CCM. Poor CCM.
 
mwenye taarifa ya yanayoendelea kwenye kikao cha ccm tafadhali atujuze
Juma Gadaffi, Kaibu mwenezi CCM-Dar amewaita waandishi kuwashukuru kwa kurursha matangazo wakati wapo Dodoma, pia wameiomba NEC iendelee kuandikisha wapiga kura! ndo hayo tu!
 
Juma Gadaffi, Kaibu mwenezi CCM-Dar amewaita waandishi kuwashukuru kwa kurursha matangazo wakati wapo Dodoma, pia wameiomba NEC iendelee kuandikisha wapiga kura! ndo hayo tu!

Wamestuka ...... Mkulu atakuwa amewapiga stop!!
 
Niko naangalia hapa huu wito wa ccm kwa waandishi wa habari,naona huyu Simba anafokafoka tu,sisikii point yake,hajajipanga kabisa
 
Si unaona jinsi ulivyo juha?

Majibu tunayo sasa hivi, wewe subiri oktoba.

Mbowe kapiga pesa, nyinyi misukule mnawekewa gonjwa lile na nyinyi mpo tu.

Mnasikitisha sana kwa kushindwa kufikiri hata mambo madogo.
bibi upo?
 
Ila magufuli naye si ailipata kikome cha babu, na ashawahi kuanguka je naye hana gonjwa! au kwa kuwa yuko pande ile!
 
mwenye taarifa ya yanayoendelea kwenye kikao cha ccm tafadhali atujuze

nimeangalia azam online jamaa alikuwa anasisitiza watu wakajiandikishe...ameongea kwa kupanik sana...kubwa aliloongea ni hilo la kuhimiza watu wakajiandikishe
 
Mkuu, imeisha na sasa jamaa wanambana kuhusu Lowassa ila jamaa anajing'atang'ata tu

Hii press ilikuwa kuwahamasisha watu wajitokeze kujiandikisha!!
wanatafuta jinsi ya kurudi kwenye media. wamepotea muda mrefu!
 
Niliyezeeka akili mimi au nyinyi, mwenyekiti wenu kapiga pesa, anamwacha mgonjwa mwenye matatizo ya wazi kabisa agombee, hamfikiri?

Hatutafuti Rais wakulala nae kitandani,tunachotaka Ccm itoke madarakani kwanza bila kujari imetokaje,mengine badae!
 
  • Thanks
Reactions: rr3
Back
Top Bottom