Yaliyojiri: Lema afikishwa Mahakamani kwa makosa ya Uchochezi, aachiwa kwa dhamana!

naam tujifunze kukubali matokeo ya mahakama; kwa hio ikiamuriwa lema arudi rumande tukubali haki imetendeka kama vile ikiamuriwa hana makosa atembee mbele
 
  • Thanks
Reactions: SQL
Wafuasi wa Chadema wanaongoza kwa kujitafutia umaarufu kupitia mahakamani; tafadhali wananchi tumewachoka wabunge na viongozi wenu kwa matendo haya:
1. Kushindwa Kutii Sheria
2. Kutotoa ushirikiano kwa serikali iliyowekwa madarakani kupitia sanduku la kura
3. Kutumia ruzuku ambayo ni kodi ya wananchi kuratibu maandamano
4. Kususia vikao vya bunge na mabaraza ya madiwani hivyo kutowakilisha vyema wananchi
 
Chadema mnatumia vibaya fedha za ruzuku, badala ya kuimarisha chama zinatumika kugharimia kesi; mawakili wa CHADEMA kila siku mahakamani kuwatetea wanachama wao walio na ufahari kufunguliwa kesi kila kukicha
 
Ukishakuwa mbunge tayari ni mtu maarufu hivyo unachosema ni pumba tu kwani umeshindwa kutofautisha kati ya kupigania haki ya wananchi na kuiba twiga, Pembe za ndovu na kuuuza nchi kwa kigezo cha uwekezaji.
 
Chadema mnatumia vibaya fedha za ruzuku, badala ya kuimarisha chama zinatumika kugharimia kesi; mawakili wa CHADEMA kila siku mahakamani kuwatetea wanachama wao walio na ufahari kufunguliwa kesi kila kukicha

CCM inavyotumia hela za ruzuku kukulipa wewe kushinda kwenye compyuta kupambana na CDM, hayo ni matumizi sahihi?
 
Wafuasi wa Chadema wanaongoza kwa kujitafutia umaarufu kupitia mahakamani; tafadhali wananchi tumewachoka wabunge na viongozi wenu kwa matendo haya:
1. Kushindwa Kutii Sheria

Ditopile Mzuzuri kada mwandamizi wa ccm alitii sheria kwa kuua

Andrew Chenge mjumbe mwandamizi wa kamati kuu ya ccm alitii sheria kwa kuendesha bila bima

Peter serukamba mwanachama mwandamizi wa ccm alitii sheria kwa kuporomosha mitusi bungeni

Mary Mwanjelwa mbunge wa ccm alitii sheria kwa kuiba mataulo hotelini

Kingunge Ngombale Mwiru mwanachama mwandamizi ndani ya Ccm alitii sheria kwa ufisadi alioufanya ubungo bus terminal

Alhaj Abdulrahman Kinana katibu mkuu wa CCM anayeua, kuvuna na kufanya biashara ya meno ya tembo nae anatii sheria

Alhaj Kinana aliyeiba dry cleaner nae anatii sheria
 
sijaweza kuingia ndani lakini watu ni wengi sana naona madiwani ndiyo wanaingia hapa mahakamani..
 
Wafuasi wa Chadema wanaongoza kwa kujitafutia umaarufu kupitia mahakamani; tafadhali wananchi tumewachoka wabunge na viongozi wenu kwa matendo haya:
1. Kushindwa Kutii Sheria
2. Kutotoa ushirikiano kwa serikali iliyowekwa madarakani kupitia sanduku la kura
3. Kutumia ruzuku ambayo ni kodi ya wananchi kuratibu maandamano
4. Kususia vikao vya bunge na mabaraza ya madiwani hivyo kutowakilisha vyema wananchi
Kama mandela vile! ulikuwa unamchukia eee. Kaburu nini?
 
Wafuasi wa Chadema wanaongoza kwa kujitafutia umaarufu kupitia mahakamani; tafadhali wananchi tumewachoka wabunge na viongozi wenu kwa matendo haya:
1. Kushindwa Kutii Sheria
2. Kutotoa ushirikiano kwa serikali iliyowekwa madarakani kupitia sanduku la kura
3. Kutumia ruzuku ambayo ni kodi ya wananchi kuratibu maandamano
4. Kususia vikao vya bunge na mabaraza ya madiwani hivyo kutowakilisha vyema wananchi

Vitendo hivyo ni vyepesi kuliko hivi vya ccm; ufisadi, rushwa, uwizi wa asili, kubinafsisha migodi yote kwa Tshs 3/= kati ya 100/=, kuwafanyia raia ugaidi na uharamia mfano, Dr. Ulimboka, Saed Kubenea kumwagiwa tindikali, Daudi Mwangosi, A. Kibanda na wengine wengi hasa Wafuasi wa CHADEMA. Pole sana kwa short memory uliyonayo aidha ni uwezo wako au kwa upofu wa uzalendo.
 
Back
Top Bottom