Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu katika viwanja vya Zakheim Mbagala, TBC Wafukuzwa

Basi na yeye hapaswi kuwa mgombea wa urais kwasababu ya rushwa ya kuwaweka vipingamizi wagombea wawili huku akikiri mwenyewe wagombea wote walikosea, kwanini hajawawekea vipingamizi wagombea wote kama kweli hawakustahili kuwepo kwenye kinyanganyiro
 
chadema leo wamesema hawazindui ilani yao ya uchaguzi kwa kuwaeleza watanzania watawafanyia nini kisha wakaamua kuiweka kando kwanza na kuwaeleza watanzania kuhakikisha kila kata kila jimbo bara na visiwani kuna wabunge wa vyama vyote na kuna madiwani wa vyama vyote pasipo kuenguliwa mtu na kupita bila kupingwa na itakuwa ni kosa kuelezea ilani wakati hauna wabunge wala madiwani wa kutosha.

baada ya kuenguliwa hapo ni kutekeleza ilani ya chama kitakachochukuwa majimbo mengi na madiwani wengi uku serikali yako kama raisi ikikosa uhalali kwa kuamua yaliyo katika ilani yako kwa hili chadema wameona mbali na wamefikiria mbali ni bora kwa mda huu kuwaambia watanzania sehemu zote wahakikishe wagombea wao wanarudishwa kisha tuambiane tunatekelezaje ilani yetu.
 
I see......
IMG-20200828-WA0027.jpg
IMG-20200828-WA0024.jpg
IMG-20200828-WA0026.jpg
IMG-20200828-WA0025.jpg
 
CCM inajua Mwenyekiti wao anamapungufu mengi ndio maana hawataki awe anatajwa.

Ila hizi ni Kampeni hivyo wanachokifanya Chadema kuongelea mapungufu ya Serekali iliyopo madarakani wapo sahihi.

Kinachofanywa na CCM ni mbinu chafu za kufifisha juhudi za upinzani, hiyo nayo ni Siasa japo haikutakiwa kufanywa na NEC hasa katika kuondoa majina ya wagombea wa upinzani.

Kwa kilichojitokeza leo ni wazi mwaka huu hakuna uchaguzi.
 
Chadema poleni sana. Kuongoza chama cha siasa ni kazi ngumu unasubiri ilani ya vyama vingine alafu utoe yako?
 
Ndio vzr tbccm muendelee na chama chenu.
Mbona kama unakata tamaa...!
====
Tunahitaji Chadema yenye maono
Hatuhitaji Chadema yenye vituko
Tunahitaji Chadema nzuri kimwamko
Hatuhitaji Chadema mbaya ivurugayo

Tunahitaji Chadema ya wananchi
Hatuhitaji Chadema ya-kuuza nchi
Tunahitaji Chadema mpenda nchi
Hatuhitaji Chadema ifitinishayo nchi
 
Back
Top Bottom