Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA uwanja wa Ujenzi - Dodoma

Wenzenu wakiwa na mikutano wanafungua miradi ya maendeleo ila mbowe anapandisha bendera eti ndio kuzindua kanda ya kati hakuna hata mradi mmoja wa maendeleo hii ni aibu.

Kuwa na akili wewe mbwi---ga...sasa afungue miradi ya maendeleo yeye anakusanya kodi?
Au unataka atoe hela yake ya mfukoni kufungua miradi ya maendelea? Acha kutumia masaburi kufikiria
 
Watanzania wenzangu,
Tuwaache waendelee katukana. Anayegeukia matusi, tayari ameisha kuchanganyikiwa, tuwaache waendelee. Jamii imekwisha kuelewa na inaendelea kuelewa. Ushuhuda ni uwingi wa wananchi Dodoma leo kwenye uzinduzi wa Kanda ya Kati. Aidha, hamasa iliyokuwepo inatosha kuashiria kuwa somoza limekwisha kueleweka. Wakati wanahangaika na matusi wenye nia njema na Taifa letu, na waliodhamiria kuleta ukomnozi wa pili kwa manufaa ya kizazi hike na vizazi vijavyo, tuendelee mbele, tusonge mbele, tuchape kazi ukombozi uko mlangoni! Tusipoteze muda wetu, punda unaweza kumpeleka mtoni lakini huwezi kumlazimisha kunywa maji.

I salute you Dr Slaa! sikuweza kuwepo dodoma lakini donation yangu niliituma in advance! viva chadema!
 
mikutano ndio kimbilio la wanachadema na viongozi wao. kwa mikutano ya kujitetea hasa wanapo kua wanafanya fujo bungeni .watu wanataka maendeleo na sio mikutano ya kujitetea kwa wananchi ....na wingi wa watu sio wananaanisha wana kusikia hau kukuelewa .
wingine wanakuja kusha ngaa....
kama wanavyofanya kina nape kusomba watu kwa malori...na kugawa pilau na nyama!!
 
Watanzania wenzangu,
Tuwaache waendelee katukana. Anayegeukia matusi, tayari ameisha kuchanganyikiwa, tuwaache waendelee. Jamii imekwisha kuelewa na inaendelea kuelewa. Ushuhuda ni uwingi wa wananchi Dodoma leo kwenye uzinduzi wa Kanda ya Kati. Aidha, hamasa iliyokuwepo inatosha kuashiria kuwa somoza limekwisha kueleweka. Wakati wanahangaika na matusi wenye nia njema na Taifa letu, na waliodhamiria kuleta ukomnozi wa pili kwa manufaa ya kizazi hike na vizazi vijavyo, tuendelee mbele, tusonge mbele, tuchape kazi ukombozi uko mlangoni! Tusipoteze muda wetu, punda unaweza kumpeleka mtoni lakini huwezi kumlazimisha kunywa maji.

Hata mimi niko pamoja nanyi ila naomba unihakikishie jambo moja kwamba siku mkishinda Uchaguzi hamtaitupa Lugha yetu ya Kiswahili na kuleta Kiingereza hasa Mashuleni, kwa maana nimesikia tetesi kwamba CHADEMA wanataka kufuta Kiswahili na kuleta ufundisdhwaji wa kiingereza kuanzia chekechea mpaka chuo Kikuu na Kiswahili kubaki Lugha ya walalahoi au ya mitaani tu!

Naomba naomba tena sana hilo lisifanyike, na badala yake Kinyume chake kifanyike, kwamba Kiswahili kipewe umuhimu ikiwezekana zaidi ya sasa hivi!

Mimi kwangu hilo tu ndio muhimu kuliko mengine yooote, sijali kuhusu Ufisadi sijali kingine chochote bali najali tu Lugha yetu ya Kiswahili basi!

Watanzania wenzangu,
Tuwaache waendelee katukana. Anayegeukia matusi, tayari ameisha kuchanganyikiwa, tuwaache waendelee. Jamii imekwisha kuelewa na inaendelea kuelewa. Ushuhuda ni uwingi wa wananchi Dodoma leo kwenye uzinduzi wa Kanda ya Kati. Aidha, hamasa iliyokuwepo inatosha kuashiria kuwa somoza limekwisha kueleweka. Wakati wanahangaika na matusi wenye nia njema na Taifa letu, na waliodhamiria kuleta ukomnozi wa pili kwa manufaa ya kizazi hike na vizazi vijavyo, tuendelee mbele, tusonge mbele, tuchape kazi ukombozi uko mlangoni! Tusipoteze muda wetu, punda unaweza kumpeleka mtoni lakini huwezi kumlazimisha kunywa maji.

Dr najua watanzania wote wanahitaji huduma ya ya kuleta ukombozi ila na huku JF huo ukombozi na taarifa zake vinakosekana tokea kamanda Regia atutoke. Mnyika na Zitto wanakuja kwa kuvizia na Tumaini Makene anasubiri siku za vikao na mikutano tu ndo anaonekana huku.
TUNAOMBA utuletee kamanda wa kudumu huku JF.

PIA swala la redio na tv ya Chadema inabidi mliharakishe kabla ya chaguzi za mitaa mwakani maana TBC na Startv zishakuwa za CCM.

Kazi njema mkuu na umpe pole kamanda Lwakatare. Mwambie kuwa ukombozi hauji bila kafara kama yeye kutolewa kwa ajili ya taifa kukombolewa.
 
Jamani mkutano wa leo makamnda wote mlikuwa na simu za Veyula hata picha hazipigi?
 
Watanzania wenzangu,
Tuwaache waendelee katukana. Anayegeukia matusi, tayari ameisha kuchanganyikiwa, tuwaache waendelee. Jamii imekwisha kuelewa na inaendelea kuelewa. Ushuhuda ni uwingi wa wananchi Dodoma leo kwenye uzinduzi wa Kanda ya Kati. Aidha, hamasa iliyokuwepo inatosha kuashiria kuwa somoza limekwisha kueleweka. Wakati wanahangaika na matusi wenye nia njema na Taifa letu, na waliodhamiria kuleta ukomnozi wa pili kwa manufaa ya kizazi hike na vizazi vijavyo, tuendelee mbele, tusonge mbele, tuchape kazi ukombozi uko mlangoni! Tusipoteze muda wetu, punda unaweza kumpeleka mtoni lakini huwezi kumlazimisha kunywa maji.

Dr nilichokuwa nakijua ni kwamba wewe ni kiongozi mwenye mawazo ya msingi ila tofauti na viongozi wenzako ndani ya cdm lakini my expectation was wrong umekuja kwa staili ileile ya kulalamikia kuhujumiwa na vyombo vya usalama na malalamishi mengine dhidi ya serikali.
Sasa najiuliza kama cha upinzani zaidi ya kutangaza madhaifu ya serikali na malalamiko yenu ya kuhujumiwa kama chama, mnajipya gani la kuwafanyia watanzania? Kila mzungumzaji alikuwa dhidi ya serikali ina maana hamna ya kuzungumza katika mikutano yenu zaidi ya malalamiko? For sure the so called liberation is too far to be archived. Au malengo yenu nini hasa ya kuzunguka sehemu tofauti Tanzania kwa sasa kama elimu ya uraia ndo ile basi kazi ipo.
 
Heri wale wanaounga mkono harakati za CHADEMA, maana ufalme wa kujenga Tanzania huru na endelevu ni wao!
 
Hii kali hata kwenye taarifa ya habari hawajasema chochote kuhusu huo mkutano,
 
hata lini mtajifunza kutoka mfano alivyoumbuliwa tomaso aliyetaka ushahidi wa kuona alipoambiwa 'gusa'
mapicha mtayaona, huu pia ni mtihani kwa waandishi wa habari hasa wa magamba, manake wanahaha wafanyeje ili wapate picha ikiwa na watu wachache hali ya kuwa watu walikuwa nyomi.
 
Back
Top Bottom