Umeinyaka wapi hii!1) Shida zinazoikabili Nchi...
A) Visasi
B) Chuki
C) Ubaguzi
D) Uonevu
E) Haki za Binadamu
2) Mkifanya Mkutano wenu uwe jukwaa la kampeni, kusifiana Mkasahau shida za waumini wenu Ole wenu TUTAPOTEZA IMANI NA NYIE WOTE MDA NI HAKIMU MZURI SANA KILA LA HERI
Mwanahabari Huru
Kwa niamba ya Watanzania wote
Labda angelikuwepo Askofu Bagonza, hawa wengine ni bure. (ngoja niweke maneno , maana kuna description yao sitaiweka hapa sasa hivi).
Wahuni, matapeli kama Kakobe, Gwajima wameshakamatwa!