Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

Attachments

  • 1417191226751.jpg
    1417191226751.jpg
    34.8 KB · Views: 241
Muhongo ama kweli ni muongo, jana si alisema umeme hautakatika lakini leo umekatika.
Ova
 
Hilo jamaaa ni chizi ndomaana linamaneno uasiyosaidia nchi,ila nahisi huyu jamaa ni shoga maana kila akiongea bungeni anapenda topic za kishoga mara oooh!unanikonyeza
 
Duuu zitto anasema huyu godwini ngilimi alipoenda malyasia aligundua kuwa singh ndiye pap na ndiye haperlink'so huyu kijana, alikuta tayari serikali imeshapiga dili na kwa sasa wanamtishia uhai wake, polisi wantaka kumbambikia kesi ya mauaji, zitto anaomba serikali imlinde mbwana ngwilimi.. Daaah hii serikali ni hatari sana, yaani ukienda nayo tofauti wanakutoa kafara, zitto anaomba kijana huyu alindwe
 
wizara ya nishati na madini unatakiwa uwe kichwa hasa na muadilifu,other wise utainginzwa mkenge,pole sana PROPH MUHONGO
 
Lusinde ni mnyama aina ya fungo. Ogopa mnyama anaingia shamba la maembe badala ya kula maembe kama nyani anakata mizizi taratiibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom