Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa Tarehe 21 Machi 2014 - Hotuba ya Rais, Uzinduzi wa Bunge Maalum

Mh. Rais nakupongeza kwa kutoa hotuba pasipo kusoma. Wanaharibu hawa wanaoshangilia kila sentensi, cjui huwa hawaoni mabunge ya wenzetu.
 
Jk anasema katiba iliyopo ni sawa na nguo yenye viraka viiingiii inaitajika nguo mpya.
 
Kazi ya kusoma na kuelewa kila kilichoandikwa ndo mtihan mgumu sana wa wajumbe.....
'UAMUZ WAKO SI WA KUAMBIWA NA MWENZAKO'
 
Back
Top Bottom