Yalioshangaza Manesi Muhimbili leo Kuhusu Bosi wangu

Hashakum si matusi niwie radhi kwa swali langu. Huyo bosi wako Mkuu Nguli Jabali ni wa deen gani?

Mchungaji Max, Bosi wangu ni mfupi sana, ni mzaliwa wa Tanga anavaa suruali fupi kwa imani ya Dini yake na huwa anashiriki ibada yake siku ya ijumaa mchana
 
Back
Top Bottom