Yaani siku hizi ukigusa tu, unapewa bila hiyana...

Kila mtu ana choice yake... wengine wanaenda huko kwa "kimboka " for one night stands! Sijui nao wanatafuta quality!...
Hao wanataka good time tu hawajali kuhusu quality...kitu quality lazima ujifeel proud kwa kukitolea jasho!
 
Jf na bangii wapi nawapi ukishaa pataa ma stimu yako ya bangee uko kaa yaishee ndoo ulog in jf lasivyoo lazimaa uandike madudu ya mtoto anayee anzaa kubaleehee? Kah
 
Hao wanataka good time tu hawajali kuhusu quality...kitu quality lazima ujifeel proud kwa kukitolea jasho!

Hapo naona tumesomana... sio kila mbunye yafaa kwa chakula bora!.. na mimi nataka mbunye yenye lishe bora!
 
Mpaka upewe si umeomba bana?
Tatizo nadhani ni kwa muombaji na muombwaji ..i mean wote!
 
MABIGIIIIIIIIIII!!!!!!!!!!!!! Mkunaji anapompakazia mashtaka mkunwaji!

MTU MZIMA HOVYOOOOOOOOO!!!!!!!!!!!! Mkipewa kiurahisi hamtaki, mkinyimwa mnaonewa, mkiuziwa hamfiki bei, Mkikopeshwa mnaona haya!!!!!!!! Mfanyiwe nini mrizike nyie ZIGO LA MIBA!!!!!!!!! Mbona hambebeki mnaendekeza shukrani ya kwapa, hata ukiliosha, sugua deodorant na spray juu lipe takika 2 limefumu!!!!!!!!!

Unajuwa hili jukwaa sasa hivi limevamiwa na vitoto vya chuo na division 5 za Mulugo. Tuvumiliane tu.
 
Maisha ya juma tofaut na ya hussein hiv kumzungusha mtu ndo kusema unajielewa sana oooh???ss hv mambo fashta.....zamani chakula kukipika lisaa lizima lkn ss hv dk 10 chezea jiko la ges ww!!!!

Hapo chacha, na chakula enzi hizo kilikuwa kinanuka moshi, hapana chezea gesi no kunuka moshi kwenye chakula
 
Zamani ya miaka ya 1980+ nilishuhudia mwenyewe, japo mambo yanabadilika kuna mambo mengine yanatakiwa kubaki kama yalivyo vinginevyo yabadilike kwa kurudi nyuma...

Mbona sababu ziko wazi sana; kila kitu kinabadiloka kutokana na maendeleo ya teknolojia ya mawasiliano.

Zamani kumtongoza mwanamke inabidi umvizie akiwa anapita barabarani. Siku unachohitaji ni namba yake ya simu tu. Kufukuzia mwanamke miezi 6 enzi zile si kwamba walikuwa wagumu sana, au wana maadili mema sana, la hasha. Ilitokana na ugumu wa mawasiliano. Fikiria mtu anakaa Temeke, wewe unakaa Mwenge. Ili muongee lazima muonane. Unaanza kupiga misele ya kwenda Temeke mara kwa mara na bila ya kujua kama yupo au hayupo. Mpaka mje mpate muda wa kuongea, kukubaliana na kupaga date ni miezi miwili imepita.

Lakini siku hizi kila kitu digitali. Au umesahau pia kwamba zamani kutoka Dar kwenda Mwanza ilikuwa ni siku 3 mpaka 4 kwa treni na kwa barabara ni siku 7? Je wajua siku hizi unatumia muda gani?

Badilika, maisha yanakwenda kasi sana. Mwanamke kukubalia kirahisi haimaanishi kwamba she is cheap. No, she just finds out that you fit into her profile, sasa kwanini akusumbue?
 
hatuvitoi hovyo hovyo ila nyie ndio mnatembeza balaa. cc Bazazi

Refer heading ya thread hii ambayo (mimi wewe na wengineo) tunachangia. Na kwa kuwa hakuna mtu - so far - anaebisha kuwa si kweli siku hizi nyie wenye vipochi manyoya vyenu mkiguswa tu mnavitoa, kuna ukweli. Sasa sijui maana ya hicho ulichokidai hapo kwenye RED!

Bai -ze- wei; tutatembezaje balaa bila kupewa vigegedwa?
 
Refer heading ya thread hii ambayo (mimi wewe na wengineo) tunachangia. Na kwa kuwa hakuna mtu - so far - anaebisha kuwa si kweli siku hizi nyie wenye vipochi manyoya vyenu mkiguswa tu mnavitoa, kuna ukweli. Sasa sijui maana ya hicho ulichokidai hapo kwenye RED!

Bai -ze- wei; tutatembezaje balaa bila kupewa vigegedwa?
na wewe mwanaume mpaka ujue ukigusa tu unapewa ina maana wewe ndio mtembezaji na umeshajaribu wengi mpaka kufikia hiyo conclusion. wanawake kumi wanapokupa wewe papuchi mtu mmoja ni nani hapo kakitembeza sana kikojoleo chake?
 
Back
Top Bottom