Mimi sionitatizo,tunawaomba sisi na tualalamika sisi, mimi naona kumalizana faster faster ndo mzuka et! kwani hata akikuzungusha kwa mwaka mzima ila si akikupa itakuwa ile ile? mi nikiwaomba mnipe siku hiyo hiyo tena itapendeza sana! achaneni na huyu mnafiki chovya chovya asiye na shukurani.
Jaman wana jf, mwenzenu nashangazwa na tabia za dada zetu wa leo. Nakumbuka miaka ya nyuma kukubaliwa ilikua shughuli, utahangaika mpaka ukome, tena akikubali unakua na kazi ngumu ya kumshawishi hadi akuvulie chu..
Kwa mwanamke wa leo sasa, hatongozwi ila anabanduliwa kirahisi bila hata kumdanganya kitu... Si mke wa mtu wala asiyeolewa. Had tunajiuliza au mnangoma ndo mnataka mtuambukize?? Kunanini hapa wadau au mtausingizia tena utandawazi? Jirekebisheni bhana, msikubali haraka.....

^^
Come&try ila using'ang'anie maana tunajua kutunza
^^
hahahaah, mie nawahusia tu wanaume msione sifa kutembea na wanawake wengi, tunahitaji tukiolewa tukute vikojoleo vyenu bado vina ladha wajameni.
Teh teh teh, umenichekesha hasa kwa ushauri huo kwa wadada, kazi ipo ila huwa sitegemei maharage ya mbeya...
Huwa najiuliza hii ni zali au noma...
Jaman wana jf, mwenzenu nashangazwa na tabia za dada zetu wa leo. Nakumbuka miaka ya nyuma kukubaliwa ilikua shughuli, utahangaika mpaka ukome, tena akikubali unakua na kazi ngumu ya kumshawishi hadi akuvulie chu..
Kwa mwanamke wa leo sasa, hatongozwi ila anabanduliwa kirahisi bila hata kumdanganya kitu... Si mke wa mtu wala asiyeolewa. Had tunajiuliza au mnangoma ndo mnataka mtuambukize?? Kunanini hapa wadau au mtausingizia tena utandawazi? Jirekebisheni bhana, msikubali haraka.....
hahahaaa nasikiaga na mimi hivo
sasa si ukatafute maharage ya bukoba,.... kwa nini unafuata hayo ya mbeya...
halafu na wanaume siku hizi mmekuwa hovyo. hakuna anaekataa kipochi manyoya. badilikeni bana sio kila kipochi manyoya lazma ukipitie, mnaadepreciate vidudu vyenu.
si ndio hapo!! bado mwanaume anajiona msafi.
Maisha ya juma tofaut na ya hussein hiv kumzungusha mtu ndo kusema unajielewa sana oooh???ss hv mambo fashta.....zamani chakula kukipika lisaa lizima lkn ss hv dk 10 chezea jiko la ges ww!!!!
miss chagga nimekuzimikia bana