Yaani hizi "X" zinakera!!!!aaaagh....

Tena sasahv wamepitiliza mpaka "g" wanaandika "q", badala ya "gari" wanaandika "qari" mbna shida kwakweli.
 
Jaluo_Nyeupe bwana..,umenchekesha. Sasa vp ushaitikia wito wa mbunge wako wa kwenda kutailiwa?
 
Hizo sijui mnaziita swaga utumbo mtupu. Watoto wa siku hizi lugha hawaziwezi kabisa, utasikia mtu anaimba "nakonda na mawazo" badala ya "nakonda kwa mawazo"
 
Unakuta mtu anakutumia msg,au kuchangia hoja fulani ktk hii mitandao ya kijamii,halafu kwenye neno linalotakiwa S anaweka X.sijui huu mtindo unasaidia nn!!mf;-sasa=xaxa
msusi=mxuxi
aaaagh wacheni ujinga,mnaboa!!!!

duh! Mi nikajua zile X tunazozijua, kumbe ni za fb
 
Ukiona hivo ndo ujue umri unakutupa mkono....inabidi kifimbo cheza afanye kazi kwa wanaoharibu lugha
 
Back
Top Bottom