Unakuta mtu anakutumia msg,au kuchangia hoja fulani ktk hii mitandao ya kijamii,halafu kwenye neno linalotakiwa S anaweka X.sijui huu mtindo unasaidia nn!!mf;-sasa=xaxa
msusi=mxuxi
aaaagh wacheni ujinga,mnaboa!!!!
...hongera umefanikiwa kuniteka kwa kichwa cha habari...
Unakuta mtu anakutumia msg,au kuchangia hoja fulani ktk hii mitandao ya kijamii,halafu kwenye neno linalotakiwa S anaweka X.sijui huu mtindo unasaidia nn!!mf;-sasa=xaxa
msusi=mxuxi
aaaagh wacheni ujinga,mnaboa!!!!
kwa wasomali herufi H ni X