Yaan Sijui Mzee KAFU atasalimika .... ?

busy bees

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
2,249
1,332
fef3c1634356db4f05dd15f0e164df96.jpg
 
Mnyukano wa makada wa CDM (Lissu) na ACT (Prof. Kitila) hivi unasaidia kuuzima huo moshi kwenye nyumba ya Mzee KAFU ....?
 
moto wa pumba ni hatari sana. huwa hautoi moshi na unaweza kaa mda mrefu bila kuzimika.
 
Maalim Seif kishafungua Account ya 'Maafa' kusaidia Wahanga wa Mgogoro huo kina Mtatiro ndio sababu wanaenda resi sana
 
Hakika huu U-NGANGARI na U-NGUNGURI wa kambi hizi mbili ndani ya nyumba ya Mzee KAFU ukiongozwa na Maalimu Seif na Prof. Lipumba utazidi kuuchochea zaidi MGOGORO unaoonekana kukua kila iitwapo leo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom