Elections 2010 ya sitta na makinda: kupewa uongozi kwa sifa za juu juu inakuweje?

minda

JF-Expert Member
Oct 2, 2009
1,068
65
wakuu, baadhi ya vyombo vya habari vilimnukuu makamba akitangaza kwamba uspika safari hii kupitia chama chake sifa ni uanauke.

vyombo vingine vya habari vikaripoti kwamba jk ameshauriwa kumteua samwel sitta kwenye safu ya uongozi wake ili 'kumpoza.'

je, kumpa mtu uongozi kwa sababu ya jinsia yake (makinda) au kumpoza hasira (sitta) ni sababu tosha?
 
tukishabikia sababu kama hizo haiwezekani baadaye tukaongeza sababu zikawa;

  • dini
  • kabila
  • urafiki
  • familia
  • ukanda
  • rangi
  • ongezea...!
 
Back
Top Bottom