Ya pinda na magufuli yameishia wapi?

Mar 18, 2011
63
12
Ni hivi majuzi kulikuwa na fukuto ndani ya serikali kuhusu bomoa bomoa ya magufuli huku pinda akimpinga wazi wazi. Wanaharakati na wanazuoni wakamshauri magufuli ajiuzulu ili kulinda heshima yake. Hili limeishia wapi?
 
Jamani sasa turudi kwenye mambo yetu ya msingi kama katiba mpya,Dowans,Umeme nk haya malumbano tuwaachie wenyewe.............
 
Back
Top Bottom