Ya Obama nimeipenda

stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
15,839
22,956
Wana JF juzi nilikuwa naangalia Al-jazeera TV walikuwa wanamuonesha Barack Obama akielekea Israel,yani sikuamini nilichokuwa naangalia,kwanza aliposhuka kwenye helicopter yake yenye steps kama 6 alishuka kwa kukimbia then alipoifikia ngazi za Airforce one alipanda ngazi zote zenye steps karibu 40 akiwa anakimbia,nikajiuliza hivi viongozi wetu wa Africa wanaokula ugali sahani mbili kila mlo wataliweza kweli hilo zoezi!
 
Haha you must be shocked "Obama is not a papal or pope ".haha duh did I say he is not Jesus Christ .
 
Nadhani [MENTION]Mauza[/MENTION] FirstLady1 na PhD wamenielewa nilikuwa namaanisha nini kwenye uzi wangu,mimi siko kwenye upinzani wa vyama,ingawa wengine ni wale wabishi,Born mbishi kazi yake ni ku-critisize evyerything in sight akifikiri inamsaidia kuonekana naye anajua.
 
Kwi kwi kwi kwi
kuna siku CNN walionyesha vioja vya Viongozi wakubwa Duniani :-

BHO(BARAKA HUSSEIN OBAMA)
Kwa kuwa mrefu sana huwa asipoinama anapoingia kwenye AIR FORCE 1 anajigonga mlangoni.

WAZIRI MKUU WA AUSTRALIA
Viatu vya mchuchumio vimwangusha sakafuni

ANGEL MIKEL
Nae pia aliteleza kwenye ngazi za ndege

Viongozi wakubwa yanawakuta mengi ya vituko.
 
Obama ni mwanamichezo na nafanya mazoezi. Rais wetu ni mwanamichezo lakini sijui kama siku hizi anafanya mazoezi. Lakini hata kiumri Obama ni mdogo kuliko Jakaya. Pamoja na hayo rais wetu anaonekana ni fit kulinganisha na marais wengine wenye vitambi kupindukia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom