Ya blogu ya udaku na jf mmu

Jamaa huwa hawakopi mmu tuu bali hata mimi kuna picha nilizitupia jukwaa la picha wakakopi kila kitu hadi kuna speling nilikosea na wao wakakopi vile vile.
 
ni yy anatoa huku coz kule kuna neno kama wana mmu,sasa mmu kwenye blogu yake inafanya nini yaani anacopy mpk anashindwa kuedit vitu kama hiyo
Dah!Hapo kwenye red pameniacha hoi, ina maana hata ku-edit wanashindwa??!!
 
Lakini huwa wanatupatia credit zetu sisi wana JF, hivyo sio mbaya maana siku hizi jf imekua source muhimu kwa habari zenye uhakika.
 
Unashangaa hiyo blogu humshangai Shigongo, issue ya Masogange walicopt na kupaste coment yangu bila hata kuedit wakijifanya eti waliwasiliana na Mtanzania anayeishi South Africa wakati mimi nipo Didis pub masaki napata mishikaki ya samaki na senene baridi kutoka Amsterdam.
ahaaaa udaku wa shigongo siku hizi umefulia sana
 
Lakini huwa wanatupatia credit zetu sisi wana JF, hivyo sio mbaya maana siku hizi jf imekua source muhimu kwa habari zenye uhakika.
yeye hajatupa credit hata sehemu moja,na sanasana anaficha kabisa usijue habari ameitoa wapi.
 
Tutajuaje anaekopi kwa mwenzie????? Je kama watu humu wanakopi kuleee?
 
Tutajuaje anaekopi kwa mwenzie????? Je kama watu humu wanakopi kuleee?
nishawaambia kwamba huyu kilaza anakopi mpk maneno kwa mfano neno kama mmu kule lipo ambalo maana yake ni mahusiano,mapenzi na urafiki
 
  • Thanks
Reactions: GKM
Back
Top Bottom