Written interview DIT

zainath

Member
Oct 30, 2013
16
5
Hivi kuna nafasi za kazi zilitangazwa na DIT nafikiri mwaka huu wameshaitwa kwenye interview ya kwanza ya written. Kwa mfano mimi nakumbuka niliomba kada ya Computer studies.
 
Ilishafanyika tarehe 8 may 2015 na oral ilikuwa tarehe 11-12 may 2015.
Pole sana inaelekea hukuona tangazo kwenye web yao.
 
Mleta mada pole sana...hata mimi kidogo tangazo nisilione sema uzuri walinipigia simu kunikumbusha.
Tatizo nataka kujua kazini watu wanaitwa lini?
 
Back
Top Bottom