World's first solar powered laptop!!!!

Zasasule

JF-Expert Member
Aug 12, 2009
1,001
103
haya soon
we will b having solar laptops!!!!hahahah,,
imagine world free from tanesco kero for users watakaotumia this kind of laptop

The worlds of computers and the environment usually do not mix, it's by inheritance given the power and materials needed to make modern day computers work as we want them to. Some have attempted to address environmental concerns before, such as laptops that were made out of wood instead of plastic, but how about a laptop that was powered solely by the sun?

luce-side.jpg

I7v69.jpg

for more information soma hapa
Neowin.net - The world's first solar powered laptop?
 
Nadhani it will be sooner than we think.
Jana tu nimenunua Charger ya simu inayotumia solar. Na ina umbo kama hiyo hapo juu.

Wakati waafrika tunabishania mambo ya kipuuzi na kuwaza ngono kwa sana, wenzetu wanatengeneza vitu vya kutuuzia.
 
Kwenye red mawazo ni personal issue sijui unajuaje wenzako wanawaza nini kwa wakati upi? Kama wewe unawaza sana ngono hayo ni mawazo yako personal na waafrika wote au wazungu wote,au waarabu wote au wahindi wote au wachina wote. Please acha kugeneralise mawazo ya watu
 
Mjomba, hapo sitaki kubishana. Kaa na mtazamo wako kwamba waafrika hawawazi ngono. Na mimi nakaa na msimamo wangu. Let us agree to disagree. For your information mpaka sasa nimeishi na ninaishi na jamii zote hizo ulizotaja. I have enough sample size to give statistical representations of the respective populations.
 
  • Thanks
Reactions: 3D.

Similar Discussions

Back
Top Bottom