World pictures of the decade (2000-2005)

Picha za kwenye post number 7, 19, 21, 26, 28, 34 zimenisikitisha sana. Great work AD

duhhhh
menifanya nirudi kuzihesabu lolz
nway yeah kweli zinatia huruma ..
sana sana number 19 ....
huyo wa 34 bahati yake mbaya tu ..
 
Binafsi nlicheka nlivyomona polisi
akula ... lakini nlimonea huruma huyo jamaa
aliye kanyagwa shingo ....
Saa zingine unaweza kufikiria kuwa waliaamua waweke pozi la namna hiyo wapigwe picha maana wote wamekodoa vilivyo kwenye kamera
 
Saa zingine unaweza kufikiria kuwa waliaamua waweke pozi la namna hiyo wapigwe picha maana wote wamekodoa vilivyo kwenye kamera

Nlikuwa natafuta picha nzuri
za kwetu lakini sikupata nafanyia kazi lakini...
 
Kuna picha moja ninayo kwenye folder yangu Klorokwin na Uporoto wamepigwa picha wanaiba sufuria la Futari kule Tandale

embu nitumie
kwa ile njia nyingine nianze collection lolz
hahahahahah ..
ngoja Klorokwin arudi utazidishiwa dozi ..
mi simo lolz..
 
embu nitumie
kwa ile njia nyingine nianze collection lolz
hahahahahah ..
ngoja Klorokwin arudi utazidishiwa dozi ..
mi simo lolz..
Hahaha!!! Nitakutumia ziko nyingi sana nyingine zinamuonyesha Hashycool yuko Kona baa, halafu nyingine Michelle amekamtwa kaiba kipedo kwenye mtumba lolz
 
Uko juu mama! sasa basi hebu fanya mpango tupate sura za wale jamaa waliosukuma gari la jairo maana tunawaona kwa nyuma tu.Naamini utafanikisha hilo.
 
Uko juu mama! sasa basi hebu fanya mpango tupate sura za wale jamaa waliosukuma gari la jairo maana tunawaona kwa nyuma tu.Naamini utafanikisha hilo.

Mtihani mgumu sana huo ..
ngoja niulizie lakini....
 
Mtihani mgumu sana huo ..
ngoja niulizie lakini....

Hebu jaribu kufuatilia maana nina hamu ya kuwajua wale wanafki kwani ndo wanaochangia kututia umaskini kwa tabia zao za kuwalamba miguu wezi wa nchi hii.
 
attachment.php

attachment.php

attachment.php
 
Back
Top Bottom