World pictures of the decade (2000-2005)

attachment.php

attachment.php

attachment.php

Asante mpendwa kwa kuweka picha za hao wanafiki.Ila hapo najiuliza kama kweli Jairo anapendwa kiasi hicho au ndo kujikomba ili asile kichwa cha mtu aliyemchomea utambi.
 
mkuu The Finest ndo alituletea hizi
tumshukuru yeye asante..
 
Afrodenzi... kama kuna zawadi ya kukupa kusema kweli ningekupa kwa thread hii... Umefanya kazi nzuri sana..... That is the greatest and the best thread ever..... You did a great research ....... You must be a journalist by professional..... Asante sana
 
dahhhhhh sante sana mkuu..
nakusanya nyingine ntawaleteeni muda si mrefu..
 
Kila nikiiangalia hii picha huwa naishia kucheka maana jamaa kama aliweka pozi kabisa ili apigwe picha

hahahahahahahah lol
Halafu anakula nini tu jamani ..

Huyo jamaa mwingine usikute aliiba balbu tu ..loohhh
 
A man carries two boys killed when their home collapsed during an earthquake in Bam, Iran, December 27, 2003.

This is my best picture, Jamaa ameonesha real respect to manhood jinsi alivyowabeb kwa feelings huku analia moyoni na sio machoni, hapo angekuwa mdada ingekuwa ni kilio tu, but a real man makes decision no matter how tough the situation, hopin aliwafikisha kwenye pumziko la milele kama alivyokusudia, Kuna watu wanakutana na life experience sio za kitoto duniani
 
mhhhhh kwa kweli!
 
Back
Top Bottom