Nchi ambayo imeshiriki mara nyingi Fainali kombe la Dunia ni:
1.Brazil ambayo imeshiriki mara 19, ikifuatiwa na
2.Germany na Italy zimeshiriki mara 17,
3.Argentina mara 15.
4.Mexico mara 14 na
5.England, France na Spain zote zimeshiriki mara 13
Unamaanisha final match au finals!Ni kwenye Fainali Mkuu :smilez: