WORLD CUP: Je wajua?

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,792
287,994
Nchi ambayo imeshiriki mara nyingi Fainali kombe la Dunia ni:

1.Brazil ambayo imeshiriki mara 19, ikifuatiwa na
2.Germany na Italy zimeshiriki mara 17,
3.Argentina mara 15.
4.Mexico mara 14 na
5.England, France na Spain zote zimeshiriki mara 13
 
Nchi ambayo imefunga magoli mengi kwenye Fainali za kombe la dunia ni:

1. Brazil ambayo imefunga magoli 201
2. Germany magoli 190
3. Italy magoli 122
4. Argentina magoli 113
5. France magoli 95
 
Nionavyo hata Tanzania inashiriki karibuni miaka yote au miaka mingi lakini haifiki fainali tu ? Pingine nitakuwa sijakuelewa kama umikusudia kombe hili ambalo fainalize zi Southafrika ?
 
Nionavyo hata Tanzania inashiriki karibuni miaka yote au miaka mingi lakini haifiki fainali tu ? Pingine nitakuwa sijakuelewa kama umikusudia kombe hili ambalo fainalize zi Southafrika ?

Ni kwenye Fainali Mkuu :smilez:
 
Mimi nafikiri Tanzania haipo katika sayari ya hii ya dunia, mbona huwa hatushiriki Fainali za kombe la dunia? bora walibadilishe jina
 
Nchi ambayo imeshiriki mara nyingi Fainali kombe la Dunia ni:

1.Brazil ambayo imeshiriki mara 19, ikifuatiwa na
2.Germany na Italy zimeshiriki mara 17,
3.Argentina mara 15.
4.Mexico mara 14 na
5.England, France na Spain zote zimeshiriki mara 13

Brazil imeshiriki fainali zote za WC au siyo
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom