wooden spiral staircase / Ngazi za mbao

Uswe

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,204
626
heshima kwenu wanabodi,

Ninahitaji ngazi za mbao au hata za steel (kama nitakosa za mbao) kwa ajili ya nyumba

Nafahamu hizi ngazi huwa zinakuwa zimetengenezwa kabisa kwa hiyo fundi yeye hufanya tu kazi ya kufix, kama kuna mtu anauza au anajua wapi naweza kuzipata hapa dar es salaam naomba anipm au anipe mwongozo hapa.

Kitu ninachotafuta ni kama hiki

Gamia_wood_small.jpg
wooden-spiral-stairs-3.jpg
 
Back
Top Bottom