Women will never be as successful as men because they have no wives to advise them

Mokoyo

JF-Expert Member
Mar 2, 2010
15,145
5,553
Women will never be as successful as men because they have no wives to advise them.

Hii ni signature ya Ndugu Nguli. Je haya kwenye hii statement ni sahihi wanajamii, je wasichana na wanawake wa JF mnakubaliana na hili? Na wanaume wa JF mnaweza kutoa experience yenu kwenye hili? Karibuni
 
Wanawake ni washauri wazuri wa waume zao. Huo ni ujumbe muhimu tunaoupata hapa.
 
Wapi Tanzania? maana huku kwingine kuna wanawake wameoa wanawake wenzao!

sijaelewa bado hiyo statement,
 
Women will never be as successful as men because they have no wives to advise them.

Hii ni signature ya Ndugu Nguli. Je haya kwenye hii statement ni sahihi wanajamii, je wasichana na wanawake wa JF mnakubaliana na hili? Na wanaume wa JF mnaweza kutoa experience yenu kwenye hili? Karibuni

Kwa wale walioolewa si wanapata ushauri kwa waume zao? Labda kama huu ujumbe unawalenga wale walioamua kuishi kivyao vyao (sorry, kuna jamaa waliwaita manungayembe)!
 
Women will never be as successful as men because they have no wives to advise them.

Hii ni signature ya Ndugu Nguli. Je haya kwenye hii statement ni sahihi wanajamii, je wasichana na wanawake wa JF mnakubaliana na hili? Na wanaume wa JF mnaweza kutoa experience yenu kwenye hili? Karibuni
Je statement hii inahalalisha kuoa ili kuweza kuweka maisha vizuri mapema?
 
kati ya mitazamo hasi niliyowahi kukutana nayo, huu ni kinara. kuna maswali mengi sana ya kujiuliza hapa. kuna mwanamke kama Wangare Mathai, Ananilea Nkya, Anne Kilango, Prof Anna Tibaijuka na wanawake mashuhuri kibao duniani. hawa ni ma lesbian? Pia suala la kusema wanaume wamefanikiwa kutokana na kuwepo wanawake hizi ni propaganda za akina Al Sahaf. Mjaribu kuangalia vitu vya kukoment na vya kubeba ili muweze kuvitetea pale utakapozuka mjadala. Ni wanaume wangapi wamefulia kutokana na misukumo hasi ya wanawake? Kuna maraisi kama Mugabe, kuna wa Camerun, Kuna mfano wa Samsoni na Delila n.k. Hawa maraisi wanasukumwa na wake zao kufanya maufisadi ya hali ya juu pamoja na matumizi ya kukufuru, kisa ni wanawake, wanawapa waume zao kile wanachotaka. so, next time muwe mnawaza kidogo. pia huyo Nguli afikirie kubadili hiyo sahihi yake kwani practically it is impracticable. hypothetically it is void. Na katika suala la mafanikio watu wasiangalie upande wa fedha tu kwani inaweza kuwa ndio kipimo kwa watu wengi. Na mafanikio hayaangalii suala la uwezo binafsi tu bali ni nini umajifanyia, pia umeifanyia nini jamii
 
Ni wanaume wangapi wamefulia kutokana na misukumo hasi ya wanawake? Kuna maraisi kama Mugabe, kuna wa Camerun, Kuna mfano wa Samsoni na Delila n.k. Hawa maraisi wanasukumwa na wake zao kufanya maufisadi ya hali ya juu pamoja na matumizi ya kukufuru, kisa ni wanawake, wanawapa waume zao kile wanachotaka. so, next time muwe mnawaza kidogo. pia huyo Nguli afikirie kubadili hiyo sahihi yake kwa practically it is impracticable. hypothetically it is void

Umenikumbusha wimbo wa jamaa mmoja unaosema "Akitakacho binti utampa tu" sijui kama nimequote sawa ila ujumbe ni kwamba mwanamke anaweza kukufanya ufanye ndivyo sivyo ili kumridhisha yeye. Na mifano uliotoa ni sahihi kabisa ..hata hapa kwetu kuna mafisadi ambao behind them are plenty of womanish unresistable forces of material things, and cheap powers.
 
kati ya mitazamo hasi niliyowahi kukutana nayo, huu ni kinara. kuna maswali mengi sana ya kujiuliza hapa. kuna mwanamke kama Wangare Mathai, Ananilea Nkya, Anne Kilango, Prof Anna Tibaijuka na wanawake mashuhuri kibao duniani. hawa ni ma lesbian?
Asante kwa mchango mzuri ila hao hapo kwenye red watakuwa na wanaume washauri wazuri. Ndio maana nauliza Je ni wanawake washauri wazuri tu au hata wanaume?
 
Labda kama huu ujumbe unawalenga wale walioamua kuishi kivyao vyao (sorry, kuna jamaa waliwaita manungayembe)!
hawa nao wana sababu za kuishi kivyao vyao si bure tu bana DC, lakini lazima kuna sehemu wanashughulikiwa hata kiushauri pia. Au nakosea wajameni?
 
hawa nao wana sababu za kuishi kivyao vyao si bure tu bana DC, lakini lazima kuna sehemu wanashughulikiwa hata kiushauri pia. Au nakosea wajameni?

ICU, uko sahihi. Wanazo sababu ila hawawezi kuepuka social stigma kwa sababu ni kinyume na wengi wanavyotarajia mwanamke aishi.

Hapo kwenye red, inawezekana wanashugulika pia.
 
ICU, uko sahihi. Wanazo sababu ila hawawezi kuepuka social stigma kwa sababu ni kinyume na wengi wanavyotarajia mwanamke aishi.

Hapo kwenye red, inawezekana wanashugulika pia.
Ni kweli Mkuu DC maana its not a one side action
 
Mkuu Buchanan nakuona unafuatilia thread, karibu najua una la kusema kwa vijana wako. I salute you always Chief
 
Mkuu Buchanan nakuona unafuatilia thread, karibu najua una la kusema kwa vijana wako. I salute you always Chief

Nashukuru kwa kunikumbuka ndugu ICU. Ni kweli nimefuatilia mawazo ya wengi na sikufikiri kama yangekuwa 'diverse' kiasi hicho! Hii statement ya Mtoa hoja sijui ilikuwa inalenga kuhusu mafanikio gani maana kuna wanawake waliofanikiwa kuliko wanaume, hata kama ni wachache! Sidhani pia kwamba kila mwanaume aliyefanikiwa alipewa ushauri na mkewe! Kwa ujumla statement hii "Women will never be as successful as men because they have no wives to advise them" sidhani kama inahold water kwa nyanja zote, inahitaji maelezo zaidi!
 
Mkuu Buchanan, nashukuru sana kwa mchango wako wenye uzoefu ndani yake. Be blessed kwani nimejifunza jambo hasa kwenye kuwa mdadisi na maandiko mbalimbali
 
Back
Top Bottom