Women Vs. Men

they are more than selfish, ndio maana nchi walizokwisha kuendelea wanaoa wanaume wachache tena kwa sababu ya kutimiza malengo yao ya kisiasa, hata mm nitaoa kwa sababu hiyo hiyo, siku zote ninapopangiwa bosi mwanamke du amani hutoweka.

Mkuu, tuwape heshima:

Ni mama zetu
Dada Zetu
Bibi Zetu
Shangazi zetu
Wake zetu
Rafiki zetu nk

Umewahi kufikiria Dunia ingekuwa vipi bila wanawake?
 
Mkuu, tuwape heshima:

Ni mama zetu
Dada Zetu
Bibi Zetu
Shangazi zetu
Wake zetu
Rafiki zetu nk

Umewahi kufikiria Dunia ingekuwa vipi bila wanawake?

Hahahahahah,

Hili swali ni gumu kamanda....Ila unaweza kujiuliza kwa namna nyingine na kujaribu kujua ni jinsi gani hawa wadau wetu wamechangia kuifanya dunia kuwa kizunguzungu!!

Babu DC!!
 
Hahahahahah,

Hili swali ni gumu kamanda....Ila unaweza kujiuliza kwa namna nyingine na kujaribu kujua ni jinsi gani hawa wadau wetu wamechangia kuifanya dunia kuwa kizunguzungu!!

Babu DC!!

Wamechangia vipi Mkuu kuifanya Dunia iwe kizunguzungu?

Usipotee sana Babu, unajua siku hizi Dot.Com wako wengi hapa JF kiasi cha kuanza kukosa mwelekeo wa enzi.
 
Wamechangia vipi Mkuu kuifanya Dunia iwe kizunguzungu?

Usipotee sana Babu, unajua siku hizi Dot.Com wako wengi hapa JF kiasi cha kuanza kukosa mwelekeo wa enzi.

Nilitaka kufungua box ya upande wa pili mkuu...!!

Mambo si mambo huku site....Uhakika wa kufika 2015 ni mdogo....ila tutajaribu kuja mara moja moja kuwasalimia dot.coms

Babu DC!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom