Wizi wa Kutisha: chunguzeni katika himaya zenu kamanNamba hizi zimetumika kwa uhalifu

Status
Not open for further replies.

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,696
22,721
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
JESHI LA POLISI TANZANIA

YAH: TAARIFA YA AWALI YA TUKIO
JALADA: MOS/IR/2022/2015
KOSA: WIZI KWA NJIA YA MTANDAO
MTUH: KASIMU ABDALAH IFYUKA

Hii ni taarifa ya tukio la WIZI KWA NJIA YA MTANDAO ambapo mnamo tarehe 05/03/2015 majira ya saa 17:15hrs hapa NBC Benki, tawi la Moshi, mkoa wa Kilimanjaro.

Mtu aitwaye STEPHEN S/O BENEDICT MBERESELO mteja wa Benki ya NBC aligundua kuibiwa pesa kwenye Akaunti zake za NBC, akaunti namba 017103000405 ilikuwa imeibiwa kiasi cha Tshs 100,000,000/= (milioni mia moja) na akaunti namba 017103005838 ilikuwa imeibiwa kiasi cha Tshs 52,865,000 (milioni hamsini laki nane na elfu sitini na tano) kwa njia ya mtandao.

Mteja huyu mwenye akaunti hizi mbili ambae ndiye mlalamikaji kwenye jalada hili STEPHEN BENEDICT MBERESELO alikuwa amejiunga na huduma ya kibenki kwa njia ya mtandao ¨C Internet Banking ya NBC ambapo ndio iliyotumiwa pia na mtuhumiwa KASIM ABDALLAH IFYUKA kuhamisha na kuiba pesa hizo baada ya kupata taarifa za mteja huyo toka kwenye vyanzo tunavyovifuatilia kwenye taasisi za kibenki na mitandao ya simu za mikononi.

Kwa Muhtasari ni kwamba Mkuu wa Upelelezi mkoa wa Kilimanjaro aliunda timu ya ufuatiliaji ambapo alikuwemo D/SGT GILBERT na D/C SELEMANI wote wa ofisi ya Upelelezi mkoa wa Kilimanjaro kwenda mkoa wa Dar es Salaam.

Timu hii iliungana na timu nyingine toka kampuni ya simu ya mkononi ya Vodacom na benki ya NBC ambapo timu hii ilikutana makao makuu ya Benki ya NBC Dar es Salaam tarehe 13/03/2015 majira ya saa 09:52hrs asubuhi ikiwa na wajumbe wane ambao ni:-

1. MR. CASTOR MPONEJA ¨C FORENSIC INVESTIGATION NBC

2. MR. LUKAS KANGA ¨C FRAUD VODACOM TZ

3. SGT GILBERT ¨C FRAUD RCO OFFICE

4. D/C SELEMANI ¨C CYBER CRIME RCO OFFICE Timu hii ilijadili tukio kwa pamoja nakugundua kuwa pesa hizo zilihamishwa kwa njia ya internet Banking kwa kufanya swap/kusajili upya line ya simu ya mlalamikaji STEPHEN BENEDICT MBERESELO namba 0754-291550 na kuhamisha pesa hizo kwa njia ya internet Banking kwenda kwenye akaunti mbili tofauti za benki ya NBC ambapo ilitumika akaunti namba 033206002769 yenye jina la HAVILY SHABAN NASSORO ambayo iliingiziwa kiasi cha Tshs 52,865,000/= na akaunti namba 019103013431 ambayo iliingiziwa kiasi cha Tshs 100,000,000/= yenye jina la DSCAN INVESTMENT.

Baada ya kugundua MODUS OPERAND ¨C njia iliyotumika kufanya uhalifu huu wa WIZI KWA NJIA YA MTANDAO, timu ilipeana majukumu ambapo timu ya upelelezi ilipewa kazi ya kupandikiza wasiri na kufuatilia taarifa za watiliwa mashaka.

Timu ya Fraud Vodacom alipewa jukumu la kufuatilia taarifa za simu ya mlalamikaji namba 0754-291550 STEPHEN BENEDICT MBERESELO na timu ya Forensic Investigation NBC ilipewa jukumu la kufuatilia taarifaza akaunti za mlalamikaji STEPHEN BENEDICT MBERESELO Pamoja na Akaunti mbili zilizotumiwa Kuingiziwa pesa hizo.

Timu zote tatu hizi zilifanyakazi na kufanikisha kumkamata mtuhumiwa tarehe 15/03/2015 huko SINZA aitwaye KASIMU ABDALLAH IFYUKA akiwa na mtu mwingine aitwaye JULIUS ISMAIL MKAHE na kufikishwa kituo cha polisi Urafiki Dar es Salaam.

Mtuhumiwa alihojiwa na kukiri kuhusika kufanya matukio mbalimbali ya wizi kwa njia ya mtandao.

Mtuhumiwa alipopekuliwa katika maungo yake na nyumbani kwake anapoishi huko KIMARA DAR ES SALAAM alipatikana na simu aina ya Samsung Galaxy Note III, yenye IMEI namba 990004475541144 na kufanyiwa uchunguzi wakitaalamu ¨C phone examination kwenye kitengo cha forencis cybercrime makao makuu ya Polisi Dar es Salaam.

Taarifa ya uchunguzi wa simu yake ilikuwaikionyesha mawasiliano ya simu kwa njia ya sms/ujumbe wa maneno wa taarifa za kibenki za mteja za mlalamikaji STEPHEN BENEDICT MBERESELO na akaunti mbili zilizotumikakuhamisha pesa toka kwenye akaunti ya mlalamikaji yaani akaunti namba 033206002769 yenye jina la HAVILY SHABAN na akaunti namba 019103013431 yenye jina la D SCAN INVESTIMENT mwenye namba ya simu 0718-775219 zikionyesha namba za akaunti mbalimbali za NBC zenye namba zifuatazo kwenye mawasiliano ya mtuhumiwa KASIM ABDAL [truncated by WhatsApp]
zifuatazo kwenye mawasiliano ya mtuhumiwa KASIM ABDALLAH IFYUKA na mtu aliyemhifadhi kwa jina la SAID JEMBE kwenye simu yake

kama ifuatavyo,

D SCAN INVESTMENT 01910303431,

HAVILY SHABAN NASSORO 033206002769,

JONA KIIZA FRED KAMPUNI TRADING GROUP 048105000772,

EMANUEL VITALIS 019201055199,

TATAMA RAJAB 037213002215,

STEWARD JEROME 07021046456,

MARIMA JOSEPH MLITA 074213001863 na PASCAL

GERVAS MUHUNGWA 047201031049 ambapo timu iligundua akaunti hizo zilizopo kwenye simu ya mtuhumiwa KASSIM ABDALLAH IFYUKA zimetumika pia kwenye uhalifu WIZI KWA NJIA YA MTANDAO huko Arusha na Moshi.

Pia mtuhumiwa KASSIM ABDALLAH IFYUKA alipopekuliwa nyumbani kwake huko KIMARA ¨C Dar es Salaam alipatikana na kadi mbalimbaliza benki ambazo alikuwaa mezificha kwenye viatu vyake.

Mtuhumiwa huyu alikutwa akiwa na VIZA CARD za CRDB 13 zenye majina tofauti kama vile ELIAS JOHN MZAVA na KASSIM ABDALLAH IFYUKA lakini picha ikiwani ya kwake.

Pia mtuhumiwa alikutwa na VIZA CARD za STANBIC 3, Benki ya NMB 3, Benki ya EQUITY 2, Benki ya STANDARD CHARTERD 2, Card 1 ya Benki ya AZANIA, Card 1 ya Benki ya POSTA na Card 1 ya Benki ya NBC pamoja na line Zaidi ya 20 za mitandao mbalimbali ya simu za kampuni ya Vodacom, Tigo na Airtel.

Timu ili gundua mtuhumiwa huyu KASSIM ABDALLAH IFYUKA amekuwa akifungua akaunti za Benki kwa majina tofauti tofauti kwa lengo la kufanikisha WIZI KWA NJIA YA MTANDAO na wakati mwingine amekuwa akitengeneza vitambulisho feki vya kupiga kura na kuwafungulia akaunti rafiki zake kasha kufanikisha zoezi la kuhamisha pesa kwenye akaunti hizo.

Mfano kwenye jalada hili yupo mtu aitwaye JULIUS ISMAIL MKAHE ambaye lilitengenezewa kitambulisho cha kupigia kura na mtuhumiwa KASSIM ABDALLAH IFYUKA kwa jina la uongo la BASAM SALIM HASSAN na kumfungulia akaunti za CRBD tano (5) kwenye matawi mbalimbali Dar es Salaam tawi la CRDB AZIKIWE, UBUNGO, MLIMANI CITY, MBEZI LUIZ na QUALITY CENTER kwa lengo la kufanya uhalifu wa WIZI KWA NJIA YA MTANDAO.

Kadi za akaunti hizo zilikutwa kwa mtuhumiwa KASSIM ABDALLAH IFYUKA wakati wa upekuzi akiwa amezificha kwenye viatu vyake.

Timu ili bani pia mtuhumiwa KASSIM ABDALLAH IFYUKA ana makazi Jijini Arusha na Dar es Salaam.

Timu ya upelelezi ikiungana na askari wa ofisi ya Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai ¨C DCI walisafiri kwenda Arusha wakiwa na mtuhumiwa KASSIM ABDALLAH IFYUKA kwa ajili ya kufanya upekuzi kwenye nyumba yake ya Arusha. Mara baada ya kufika jijini Arusha na kufanya upekuzi katika makazi yake zilipatikana kadi zipatazo 8 za Benki na line Zaidi ya 50 za mitandao mbalimbali ya simu za mkononi.

Baada ya kukusanya ushahidi wa kitaalam na kuhoji mashahidi mbalimbali pamoja na vielelezo vilivyopatikana kwa mtuhumiwa KASSIM ABDALLAH IFYUKA, tunapata zaidi ya asilimia 85% za kuweza kumfungulia hati ya mashitaka kwa kosa la WIZI KWA NJIA YA MTANDAO mtuhumiwa jaladani KASSIM ABDALLAH IFYUKA na pia ushahidi wa washiriki wa makosa yanayotendwa na mtuhumiwa watafutwe na kuonganishwa na kosa kwani timu ilibaini mtuhumiwa KASSIM ABDALLAH IFYUKA huwa anashirikiana na wafanyakazi wasio waaminifu kwenye taasisi za Benki na mitandao ya simu.

Pia mtuhumiwa huyu KASIM ABDALAH IFYUKA amefunguliwa kesi ya Money Laundering ¨C Utakatishaji wa Pesa FCU/IR/55/2015 yahusika.

"Copied From A Whatsapp Group"
 
good job ila jamaa wasiishie hapa waende na kwa wahusika wa escrow

Umenena vema special agent, huyu mwizi amekuwa rahisi kupatikana pamoja na complications zake. Wale waliobeba fedha kwa viroba toka Benki ya Stanbic ati hawajulikani, napata kizungzungu!!
 
Last edited by a moderator:
Tanzania kama ulaya sa hvi tuna hadi wataalam wa kuiba hela kwa njia ya mitandao halafu n wazawa!
 
Hii habari ni muhimu sana kwa watu, bahati mbaya manyang'au sasa hivi wanakula na kujampa Lowasa. Rip Common Sense...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom