Mawio hawadanganyi.... Story zao nyingi wanarusha baada ya kufanya investigation ya hali ya juu
Loh!
Basi ngoja tuamini tu vizuri story zao za ufisadi wa Lowassa.
Mawio hawadanganyi.... Story zao nyingi wanarusha baada ya kufanya investigation ya hali ya juu
Hovyo hovyo tu...mawio ni kama tanzania daima...wanataka lifungiwe kwa uzushi mwanahalisi irudi mjini..
ccm maji ya shingo
huo ni uongo wa asubuhi asubuhi acha kupotosha umma wewe na sheria ya mtandao inakuhusu wewe.
Loh!
Basi ngoja tuamini tu vizuri story zao za ufisadi wa Lowassa.
Katika gazeti bora hapa nchini la leo (Mawio) limeonyesha tayari mkakati maalum wa wizi wa kura unaohusisha makepteni umekamilika. Makepteni hao tayari washapewa mafunzo kwa siku kadhaa na kusambazwa katika majimbo yote 265 ya uchaguzi nchini
Katika gazeti hilo limeonyesha orodha ishatolewa na CCM ya vijana watakaopewa kazi maalum katika kila jimbo. Na wote watawajibika Makao Makuu ya CCM
Waraka huo unaonyesha kwamba "makapteni" watakuwa wanalipwa Tsh. 125,000 kwa siku.
UKAWA WANAWEWESEKA mnatafuta sababu maana mmeshaona mnaelekea kushindwa uchaguzi.
UNAPIGA POSHO KWA KWENDA MBELE, YANI TOKEA ASUBUHI UNAHENYEKA KIJANA, DUH njaa hizi hatareeeeKatika gazeti bora hapa nchini la leo (Mawio) limeonyesha tayari mkakati maalum wa wizi wa kura unaohusisha makepteni umekamilika. Makepteni hao tayari washapewa mafunzo kwa siku kadhaa na kusambazwa katika majimbo yote 265 ya uchaguzi nchini
Katika gazeti hilo limeonyesha orodha ishatolewa na CCM ya vijana watakaopewa kazi maalum katika kila jimbo. Na wote watawajibika Makao Makuu ya CCM
Waraka huo unaonyesha kwamba "makapteni" watakuwa wanalipwa Tsh. 125,000 kwa siku.
Kachapisha majina mengine huyo hana jipya.Hausomi Magazeti mkuu