Wizi wa kitimoto jikoni nani alaumiwe??

OkSIR

Senior Member
Jun 3, 2009
108
1
Kumekuwa na wizi wa ajabu hivi karibuni wakati unapoagiza nyama mbali mbali hususani kitimoto....kila ukiagiza kilo moja unaletewa nyama pungufu..je ni kila mtanzania fisadi ama uaminifu...swali langu kwa wizi wa nyama majikoni mtu ametoka kazini ameamua kuja kwako gafla unapunguza kile alichonunua ..nani alaumiwe...ni mteja kutosimamia mpaka mwisho.,ama anaeuza na kuchoma nyama kwa kutokuwa mwaminifu...kazi kweli kweli
 
Ulaumiwe wewe maana unakuwa umelewa, hivyo unawarahisishia kazi ya kukuibia.
 
Ulaumiwe wewe maana unakuwa umelewa, hivyo unawarahisishia kazi ya kukuibia.

PAKA JIMMY.....UMEFULIA...NDUGU YANGU

MIMI SINYWI WALA SIJAWAHI KUSIKIA ARUFU YA POMBE...PIA NAFIKIRI SI WOTE WALAO NYAMA AMA KITIMOTO BAR NI WALEVI AMA LAZIMA WANYWE POMBE...

anyway jina lenyewe limenirahisishia kazi.....karibu toa maoni
 
Mkuu, ukiagiza Kitimoto kilo moja nilazima kikiletwa mezani kitakuwa kime pungua kama robo hivi, si unajua nyama yenyewe ilivyo na mafuta mengi?,we unategeme ije kama ilivyo kuwa mbishi?. Dah Wabongo kwa kupenda misosi tu hatari!.Mkuu inaonekana jamaa wanakuonea sana kwa kukufanyia usanii kwenye KITIMOTOZ,unajua madhara yake lakini?
 
Last edited:
mkuu ni lazima ipungue ila tatizo inapungua kupita kiasi wakati huohuo akija mtu anaambiwa kuna nusu kilo ama kilomoja iko tayari unachukua...???
 
Back
Top Bottom