Wizi wa catalytic converter kwenye magari 'Masega'

Mkuu ingia chini ya uvungu wa gari lako na chungulia ukiona exhaust yakk imechomelewa kama hvyo au ina alama zabl kukatwa ujue tayari
Kwa hio hapo ndo umemuelezea 😁😁 unajua we kichwa chako haifanyi kazi vizuri em jibu kulingana na swali
 
Wakuu habari zenu....

Nianze kwa kusema mimi sio mtaalam sana wa magari, nimeiona iyo picha sehem wakisema kwamba ni mchezo mpya mjini apa. Ukipeleka gari yako kwa fundi kuna 'unga' upo iyo sehem wanautoa na kuuza.

Baada ya apo gari inakua inatoa mlio wa tofauti na hata ulaji wa mafuta unaongezeka.
Me ningependa kupata maelezo zaidi humu jukwaani kuhusu hilo.

Nawasilisha.

IMG_0923.jpg
 
Tumechelewa Sana Ndugu Zangu
Thread Zimejadiliwa Sana
Nunua Baiskeli Kuepuka Kadhia Hiyo
 
Nilikuwa nakagua gari langu nimekuta limetobolewa huko chini kwenye Exhaust kwa wanaofahamu naomba mnisaidie wamechukua nini humo na gari naona limebadirisha muungurumo

FB_IMG_16285828883216580.jpg
 
Aisee pole sana ,wameshaiba catalyst kimbilia polisi tu maana hapo wameshauwa gari
 
Umepigwa.. Kuna powder inakaa apo ambayo ina-act kama filter ya kuchuja sumu/moto kutoka kweny engine.. inaitwa catalytic converter powder..

Kwa USA ni sheria kwa gari kuwa na hiyo kitu since 70's ila kwa hapa ni mngurumo utabadilika na ulaji wa mafuta utaongezeka kiduchu.. Powder yenyewe bei yake imechangamka kidogo.
 
Da!!!..kuna jirani yangu nae ananiambia nae walimuibia kwenye gari yake..anasema michezo hii wanayo watu wq garage
 
Tumtuhumu nani sijui sabaya angekuwa Hayuko jela tungejua ni yeye lakini sasa amefungwa sijui nani anaweza akawa amehusika
 
Back
Top Bottom