Kuna wizi mkubwa wa pesa za TRA zimeibiwa kupitia mtandao wa tra.go.tz, inasemekana pesa hizi zilikuwa ni malipo ya TRA toka kwa walipa kodi ambao ni TANESCO na TTCL
Naelewa gazeti laeast africa limeandika, lakini kinachoshangaza ni kuwa wahusika wapo hapa DSM, ninapoandika wako mtaani huko wana-fanya valuation of their fixed properties kwa zaidi ya mwezi sasa, inasemekana watakapokuwa tayari wametekeleza masharti ya dhamna ndo watafikishwa mahakamani.
Sijaona hii thread hapa JF ila nimeandika kama ipo naomba niunganishwe humo kwenye hiyo thread