Wizi unaoendelea Vodacom na Zain

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
7,903
1,053
Wadau nimekutana na malalamiko haya toka kwa mdau mmoja. Ebu yafuatilie na uone ukweli wake na malalamiko yapelekwe TCRA. Tusikubali kuendelea kuibiwa.

There is advertisement going on by the mobile phone providers since the beginning of the month of Ramadhani and the ad have been changing. Zain Ad ‘Ongea na namba za Zain bure baada ya dakika ya kwanza, internet BURE na SMS BURE saa 6 usiku – 12 asubuhi, Ramadhani hii’ Vodacom and Tigo came along.
I’ve been testing Zain and Voda and my findings are both providers are providing false information to the customer, their charging both phone calls and data during that period.
Check your balance... surf the net or make a phone call and check the balance after
Where is TCRA? Where is the Tanzania Consumer Association (TCA)?
 
Sasa fund tha kampeni mnataka zitoke wapi?

SLAA 2010!!!
 
Wadau nimekutana na malalamiko haya toka kwa mdau mmoja. Ebu yafuatilie na uone ukweli wake na malalamiko yapelekwe TCRA. Tusikubali kuendelea kuibiwa.

I've been experiencing the same problem.
Kuna uwizi wa wazi unafanyika hapa, hadi mara ya mwisho nikajisemea kuwa labda kwa vile ni usiku ndo maana wanaiba hawa!
Na hivyo vigezo na Masharti ni vitu gani?
 
Yap, kwa sababu Watanzania mmezidi tukitangaza ofa tu mpaka mitandao inajam, sasa tumeamua kuwaibia kirahisi zaidi.

Msemaji wa Zain na Vodacom.
 
Naona Zain sasa kila ukipiga simu ukikata tu inakuletea msg kwamba umetumiamuda gani na thamani yake plus VAT kiasi gani na salio lako ni kiasi gani. Wenzangu na nyinyi mnakutana na same msg?

Wameogopa baada ya kusoma hapa JF?
 
Back
Top Bottom