Wizi mwingine wa kutumia jina la Mwl Nyerere....Kigoda cha Mwl JN

geophysics

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
904
166
1.jpg

Thamani ya kigoda hicho hapo juu ni milioni nne laki saba....... Eti ni kigoda cha Mwalimu Nyerere.... wizi mtuuuuupu
 
Hapo ninauhakika zaidi ya nusu wamekula wajanja, labda sijui wametumia material gani? maana sofa seti ya watu saba nzuri kabisa tunaipata kati ya milioni 1 hadi milioni 1.5
 
Ama kweli huu ni wizi mtupu, hebu oneni hata mguu wa nyuma kulia ni mfupi mpaka umeongezewa kipande cha ubao, ili kiweze ku-balance!!!!!
Hivi ni kwa nini lakini!?
 
1.jpg

Thamani ya kigoda hicho hapo juu ni milioni nne laki saba....... Eti ni kigoda cha Mwalimu Nyerere.... wizi mtuuuuupu
kama kimeuzwa katika mnada sidhani kama ni kosa, kwenye minada maalumu ya kuchangia vitu mbalimbali hta kuku anaweza kuuzwa milioni kumi, yaani anaweza kunadiwa mpaka milioni kumi, juzi juzi mkoba wa magrth thatcher aliyekua waziri mkuu wa uingeeza uuliuzwa kwa dola za marekani 40,000 Thatcher's handbag sold for US$ 40,000BBC News - Thatcher's famous handbag raises £25,000 for charity

[h=1]Thatcher's famous handbag raises £25,000 for charity[/h]
 
mimi nashauri hizo hela zinazopotea kwenye kutengeneza the so called kigoda cha mwalimu ziende zikasaidie h ospitali zetu. kweli huu ni ubunifu mpya wa ulaji, kwani siku zote walikuwa wapi kutengeneza kigoda? kwanza hicho ni kiti na si kigoda, halafu tuambiwe hasa faida yake. watanzania hatuko wajinga kiasi hicho, narudia tena -huu ni ubunifu mpya wa ulaji, PERIOD!
 
Hicho ni kigoda? Au KOCHI la Mwalimu? Halafu hata ufundi wenyewe mbovu, cheki mguu wa nyuma umeegeshwa kwenye kibao... Wizi mtupu!
 
mimi nashauri hizo hela zinazopotea kwenye kutengeneza the so called kigoda cha mwalimu ziende zikasaidie h ospitali zetu. kweli huu ni ubunifu mpya wa ulaji, kwani siku zote walikuwa wapi kutengeneza kigoda? kwanza hicho ni kiti na si kigoda, halafu tuambiwe hasa faida yake. watanzania hatuko wajinga kiasi hicho, narudia tena -huu ni ubunifu mpya wa ulaji, PERIOD!

Tukiite kigoda cha Abdallah KIGODA NA LOWASA au mnasemaje wana JF?
 
Back
Top Bottom