Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,607
- 93,405
[h=6]Wizi mtupu!
Girl: Hellow
Boy: Sweety mambo vip?
Girl: poa
Boy: Utakua free weekend hii? Nilikua nataka uje home.
Girl: Ooh Sorry, sitoweza kuja coz kuna harusi ya Aunt yangu na kesho yake kutakua na wageni nyumbani.
Boy: kama ni hivo sawa just nilikua nataka nikufanyie surprise, nimekununulia Blackberry Torch
Girl: ooh!! Usijali mpenz wangu ntakuja, hata ukitaka nilale uko uko nitalala
Boy: vipi kuhusu harusi??
Girl: harusi ipi?? Nilikua nakutani honey.
Boy: ok, na mimi pia nilikua nakutania tu.....[/h]