Pukudu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 3,148
- 2,220
Pale Arusha bila kumng'oa Lema, patachafuka sana sana na bado. Matatizo yote haya yanatokana na huyu jamaa wa Chadema. Sasa hivi watalii hawakai mjini, guest house hazina watu, vibaka kibao plus so many uncouth things happening randomly.
Sina hakika kama ana shule yoyote na sijui watu wenye akili kama Arusha Municipality walivyo wanachanguaje mtu wa namna hii?!
Lema anahusikaje? Hili ni swala la polisi badala ya kushughulika na usalama wanahangaika na siasa, na biashara za mihadarati wa kuhamisha ni Zuberi Mwombeji