Wizara ya mifugo imeweka link ya ngono

Hahaaaa, Bongo balaa tupu: "Lakini hata Petro aliambiwa atakuwa mvuvi wa BINADAMU"!!!
na hii wizara inafuga na kuvua binadamu.....Haha!:crying::A S angry::mad2:
 
Aisee ni hatari sana....website imekuwa hacked...IT wamelala!ndio ujinga wa kila kitu kuwa outsourced!IT dept hawana kazi wanachukua pesa wanawapa kampuni za kidosi wanadesign na update kila kitu!wao wanakula posho za semina kila siku!aibu....
 
Kweli Bongo ni zaidi ya uijuavyo! Yaani mpaka saa hizi hakuna mtu wa IT aliyeiona na kushughukia hiyo kitu au ndo kusema wote wanasherehekea Muungano kwa hapo kazi ni mpaka warudi ofisini J3 au sio? Halafu kesho tunalalamika maadili ya watoto wetu yanaporomoka!
 
Mi mwenyewe nimeona nikashangaa kweli hatuna IT department. Ndio tatizo la àjira za kujuana ilo
 
Saf sana ukchoka kuangalia mamb ya mifugo unaanza ku pornika mbele ya wazir,kama vp naye anjiunga mnakuwa wote
 
TAFADHALI INGIA KWENYE WIZARA YA MIFUGO Ministry of Livestock and Fisheries Development - Home - HALAFU ANGALIA UPANDE WA KULIA KWA CHINI KWENYE KICHWA CHA IMPORTANT LINK UTAJIONEA MWENYEWE LINK ZILIZOPO

Sio hiyo tu, tembelea tovuti ya chuo kikuu cha Dar es salaam tafuta VC WELCOMING NOTE chini yake kuna link kibao ukishuka chini kidogo kuna link za porno.
Jionee mwenyewe hapa http://www.google.com/url?q=http://www.udsm.ac.tz/&sa=U&ei=b-h6UZmEPIGSO-WDgKgG&ved=0CBUQFjAA&sig2=n_4jz7IUd6nLuGZXOzhXTw&usg=AFQjCNE75vytD9R8CIN8YpUO2dD1yTI8jQ
 
jamaa baada ya kuhack wame upload shell file, hata kama watafuta izo link bado site itakuwa na vitu vingine vya ajabu ajabu
 
Back
Top Bottom