Wizara ya elimu; ajira za walimu wapya wa cheti, diploma na degree lini?

MWL MTZ

Member
Aug 12, 2011
39
2
napenda kujua ajira za walimu wapya mwaka huu ni lini? maana walihaidiwa kupata ajira mara tu wanapomaliza mafunzo sasa ni takribani zaidi ya miezi 5.
 
serekali yetu haina hela ya kutoa ajira mpya, Labda msubiri mpaka baada kuilipa DOWANS ndio tunaweza kuwafikiria!!!

Namjue ya kwamba tuna mambo mengi ya kufanya kama vile Hafla fupi za kupongezana baada ya kufanikisha kuchelewesha mishahara ya wafanyakazi bila mgomo, Safari za nje ya Nchi kwenye vikao visisvyokuwa rasmi, kuandaa tume zisizokuwa na majibu kama ile Prof. Makenya Maboko, Kumtembelea mh Dk Kawambwa ofsini ili kupiga story za enzi hizo, na Kupitia pale kwa katibu mkuu Prof Dihenga kumpa kadi ya arusi na kumweleza kuwa yeye ndiye mfungua shampeni wa Arusi ya mpwa wa Jailosi, Davidi, Kuandaa vikao kupitia kwa Dk Ndalichako wa NECTA ili kuangalia muelekeo wa kuongeza divission zero kwa hawa 4m 4 ili kupunguza usumbufu wa mikopo mwaka 2014 ili tukisafishe chama chetu kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka 2015. n.k n.k n.k n.k

Hivyo basi naombeni muendelee kuvuta subira kwa moyo mweupe kabisa enyi waalimu wetu, We love u so much our comrades teachers....
 
serekali yetu haina hela ya kutoa ajira mpya, labda msubiri mpaka baada kuilipa dowans ndio tunaweza kuwafikiria!!!

Namjue ya kwamba tuna mambo mengi ya kufanya kama vile hafla fupi za kupongezana baada ya kufanikisha kuchelewesha mishahara ya wafanyakazi bila mgomo, safari za nje ya nchi kwenye vikao visisvyokuwa rasmi, kuandaa tume zisizokuwa na majibu kama ile prof. Makenya maboko, kumtembelea mh dk kawambwa ofsini ili kupiga story za enzi hizo, na kupitia pale kwa katibu mkuu prof dihenga kumpa kadi ya arusi na kumweleza kuwa yeye ndiye mfungua shampeni wa arusi ya mpwa wa jailosi, davidi, kuandaa vikao kupitia kwa dk ndalichako wa necta ili kuangalia muelekeo wa kuongeza divission zero kwa hawa 4m 4 ili kupunguza usumbufu wa mikopo mwaka 2014 ili tukisafishe chama chetu kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka 2015. N.k n.k n.k n.k

hivyo basi naombeni muendelee kuvuta subira kwa moyo mweupe kabisa enyi waalimu wetu, we love u so much our comrades teachers....

asante mkuu
 
napenda kujua ajira za walimu wapya mwaka huu ni lini? maana walihaidiwa kupata ajira mara tu wanapomaliza mafunzo sasa ni takribani zaidi ya miezi 5.
was just a political talk ila subiria tu zitakuja usihof mkuu
 
Back
Top Bottom