Si urudie mtihani wa fVI mkuu?
Ww ndebile kama umekoxa kaz xema 2kutafutie coz unatoa coment za ajabu
Jaman vp majina yametoka? Au bado na yamebadikwa ktk vi2o!
Vijana msiwe na wasiwasi, majina bado, ila yako mbioni kutoka.
Msikae mbali na JF kwani yakitoka tu tutamwaga taarifa humu humu.