Wizara aliyopewa Mwakyembe

Haraka haraka nani alikua anakukimbiza?au na wewe ni moja wa wale malimbukeni wa hapa jf kujifanya wao ndo wakwanza ku post kitu,mambo hata hayajakamilika mtu ameshapost kitu ukifungua post hakuna kitu
niambie kirefu cha ticts na ilianzishwa lini na nani..wewe si unafifanya mjuaji..imeliingizia taifa kiasi gani hadi sasa hivi..kama hujui basi rudi kwenye mada
 
jouneGwaluMkuu hawa watu hawaeleweki kabisa,Kama uadui ungekwepo basi wakati ule iliposemekana amewekewa
sumu basi angesema ukweli halisi,kama wakati ule aliogopa we unadhani ataweza kuchimbua madudu hayo?
Ila kwa upande mwingine nimeona kama kambi moja unaongezewa nguvu na lingine linadhoofishwa.

Uh kweli mkuu wangu, na sijui nimeisahau vipi hii hoja?
Nilisahau kuwa CCM (yote) imeingia deal na shetani!
Jamani mapenzi na nchi yanaweza kukufanya uanze kutafuta nafuu kwa watu ambao ni walewale tu.
Full kupotea hii nchi.
 
Last edited by a moderator:
Mtakatifu hiyo ni TICTS, siyo TICS. Tanzania International Container Terminal Services ltd. Nipe ahsante yangu.
Mara ya kwanza ka2mia TICTS na kisha baadaye TICS nazan ni typographical error, ila sio kwamba mtakatif hana ufahamu wa hilo
 
Hiyo nayo ni hoja Mkuu Saint Ivuga!

Nakumbuka hili suala la TICTS, liliishia kwa zengwe tu tukaambiwa lipo kwenye baraza la mawaziri hivyo umma usipige kelele...
Labda JK kasahau? Labda ni kisa cha nani amvishe paka kengere?? Labda JK amemu-underestimate Mwakyembe??

Ila binafsi bandarini sina kwere napo sana, naona kama urekebishaji wake upo dhahiri sana.
Ngoma ngumu ni ATC, TAZARA na TRC....
Hapo ndio masikio yangu nimetega sana!

Muheshimiwa upo sawa kabisa kule TRC, Tazara na ATCL kazi ipo...kote huko kumeoza mbaya....kwa makusudi Reli zinanuwawa ili watu wafanye Biashara ya Transpotation......Mijitu ina makampuni ya usafirishaji.....wanahakikisha Reli hazifanyi kazi......Mr Harison.....ili wadanganyika wakukumbuke pamoja na historia na misumu......hapa fanya jambo na kuhakishia utamfunika hata mkuuu wa wa kaya
 
Back
Top Bottom