Wito wa Hiari: Abdul Nondo achangiwe kwenda kumalizia masomo yake nje ya Tanzania

Mnyanyembe wa Mboka

JF-Expert Member
Feb 10, 2017
2,347
3,033
Kwa watanzania wapenda haki na wenye huruma mara nyingi tumewashuhudia wakiojitolea kizalendo kuwachangia baadhi ya watu katika harakati zao au matatizo yao mbalimbali kulingana na jinsi walivyoguswa ...

Binafsi naguswa sana harakati za kijana Abdul Nondo licha ya kupitia misusuko na changamoto mbalimbali lakini pia Bado ni mwanafunzi ambae ana ndoto za kumaliza masomo yake, na pengine anaota siku moja elimu yake itawanufaisha watu wanaomzunguruka kwa kiwango Cha harakati zake ...

Binafsi kwa kuwa naguswa na mchango wa kijana huyu katika harakati zake za kielimu banafsi nafikiri ingekua busara kama ingeanzishwa harambee kumchangia kijana huyu ili akamalizie Masomo yake nje ya nchi ...

Hili linapaswa kuangaliwa na kulifanyia kazi kutokana nabkuwa harakati zake zimegubikwa na hila za utawala wa Awamu ya 5 na hivyo ni rahisi kupeperusha ndoto zake kwa hila na figisufigisu kadhaa kupitia vibaraka wa mtawala ...

Kwa hiyo basi kupitia andiko hili ningeomba mtu yeyote mwenye jukwaa lenye wafuatiliaji wa kutosha ufanyike utaratibu wa mawasiliano kwa wanajamii na muhusika ili zoezi lianze haraka iwezekanavyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa ila atatumia passiport ya nchi gani? na Mamlaka gani itakayo toa hiyo passport.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa kutufikisha hapa tulipo ... Sasa mtu kama wewe utakapo pewa nafasi ya kuvaa tai kwa ofisi ya serikali si itakua balaa ...

Ona sasa Mnavyoharibu Maisha ya Watoto wa Wakulima na giriba za Kununuliwa Smart Phone na Flash Disk. Mchuma Janga hulia na wakwao. Apambane na hali yake tu mtoto mjinga yule, alitumwa elimu yeye kajifanya Toilet Paper.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ona sasa Mnavyoharibu Maisha ya Watoto wa Wakulima na giriba za Kununuliwa Smart Phone na Flash Disk. Mchuma Janga hulia na wakwao. Apambane na hali yake tu mtoto mjinga yule, alitumwa elimu yeye kajifanya Toilet Paper.
Nawewe umeumbwa na ulemavu huu wa kuwekewa tikitimaji badala ya akili=0 brain

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usihubiri ujinga hapa. Kuna watu wenye matatizo ya kikweli wanaotakiwa kuchangiwa wakiwemo wagonjwa na wasiojiweza, na si kutoa wito wa kumchangia mpumbavu aliyekubali kutumika kama tambara la deki ili waliomtumia wapate umaarufu na baada ya kutumika ametelekezwa hana thamani tena.

Tukio hili la Abdul Nondo liwazinduwe vijana wote wenye akili na mawazo sawa na yeye kutambua kwamba, unapopata fursa ya kwenda kusoma chuo kikuu, jitahidi uitimize hiyo ndoto ambayo pia ni ndoto ya wazazi wako na siyo kudakia mambo ya kiharakati na siasa ambayo muda wake bado.

Jukumu la vyuo vya umma ambavyo ni mali ya serikali ni kuwaelimisha walio tayari kujielimisha na kwa msingi huo haviwezi kutumika kama jukwaa la kuandaa mamluki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ona sasa Mnavyoharibu Maisha ya Watoto wa Wakulima na giriba za Kununuliwa Smart Phone na Flash Disk. Mchuma Janga hulia na wakwao. Apambane na hali yake tu mtoto mjinga yule, alitumwa elimu yeye kajifanya Toilet Paper.
Sasa ulitaka uchangiwe?? Wew kichwa maji kweli. Sasa utoto unahusianaje na maswala ya elimu??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom